TANZIA Sophia Nyerere, Mjukuu wa Baba wa Taifa afariki Dunia

Apumzike kwa amani. Nakumbuka mwaka jana alipost picha akiwa hospitali akasema amepata changamoto ya upumuaji lakini anaendelea vzr, akapona kabisa. Mwaka huu ameugua tena na kuondoka. Mwenyezi Mungu amrehemu.
Aliegundua huu ugonjwa alituweza hata upone,usijiamini sana,,rejea yule mama wa kilimanjaro
 
Sofia alikuwa kwenye oksijeni, RIP.

ambayo inapatikana Mzena wanakotibiwa VIP wa nchi hii

lakini ni kawaida ya hii familia, babu alikimbilia kutibiwa London, mtoto Rose alipelekwa Mzena na mjukuu nae Mzena

sisi tutafia Sinza Palestina na vituo vingine vya afya tunavyojengewa kwa tozo zetu
 
Tatizo nini sasa hapa
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Tatizo nini sasa hapa

tatizo ni wao na watoto wao na wajukuu zao kujiwekea ventilators kwenye ma hospitali yao ya ma VIP kwa kutumia tozo za miamala yetu sisi

huku Nanyumbu dispensary hatuna oxygen ventilator

Nyerere alikaa madarakani miaka 29 yuko busy kujijengea sifa kwenye medani za kimataifa badala ya kujenga hospitali na kujenga uwezo wa wataalam…..

….siku yamemkuta yeye madhila ya afya eti katuacha kakimbilia London, Mungu akamwambia Weee! Usintanie!
 
tatizo ni wao na watoto wao na wajukuu zao kujiwekea ventilators kwenye ma hospitali yao ya ma VIP kwa kutumia tozo za miamala yetu sisi

huku Nanyumbu dispensary hatuna oxygen ventilator

Nyerere alikaa madarakani miaka 29 yuko busy kujijengea sifa kwenye medani za kimataifa badala ya kujenga hospitali na kujenga uwezo wa wataalam…..

….siku yamemkuta yeye madhila ya afya eti katuacha kakimbilia London, Mungu akamwambia weee! usintanie!
Khaaa
 
Sophia Nyerere, ambaye ni Mjukuu wa Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, amefariki dunia leo Jumanne katika Hospitali ya Mzena mkoani Dar es Salaam, alipokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu. Marehemu Sophia ni Mtoto wa John Nyerere.

====

SOPHIA Nyerere, ambaye ni mjukuu wa Baba wa Taifa la Tanzania, Hayati Julius Nyerere, amefariki dunia leo Jumanne, tarehe 27 Julai 2021, mkoani Dar es Salaam.

Taarifa ya kifo hicho imetolewa leo na familia ya Nyerere, ambayo imesema Sophia amefariki dunia kwenye Hospitali ya Mzena, mkoani Dar es Salaam, alikokuwa anapatiwa matibabu.

Marehemu Sophia alikuwa Mtoto wa Hayati John Nyerere, aliyefariki dunia Mei 2015. John alikuwa mtoto wa nne wa Mwalimu Nyerere.

Taarifa ya familia hiyo imesema, kwa sasa msiba uko nyumbani kwa Mwalimu Nyerere, maeneo ya Mikocheni mkoani Dar es Salaam.

anafanana na Makongoro Nyerere na pia sura ya mama Maria ipo RIP dada yetu wa taifa
 
Back
Top Bottom