Kumekuwa na mijadala mingi humu kuhusu biashara ya network marketing huku wachache wakiikubali wengi wanaona ni kama utapeli wa mchana kweupe.
Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni kutokana na anavyoona lakini leo nataka nii-share na wadau humu the future of this business kutokana na experience yangu, kutokana na makampuni mengi yanayouza bidhaa na huduma kutumia hela nyingi kufanya matangazo huku mrejesho wa faida unakuwa mdogo au wakati mwingine ni hasara ndipo hapo option ya network marketing inapochukua nafasi.
Kwani makampuni mengi wamegundua kwa kutumia biashara ya mtandao itasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza gharama za uendeshaji na kupata faida kubwa.
Naandika haya kutokana na baadhi ya makampuni hapa Tanzania kuanza kuendesha kampuni zao kwa system ya network marketing!
Kwa wale ambao hawana taarifa kampuni ya simu ya Zantel imeanzisha huu mfumo hivi karibuni na nategemea very soon tigo,voda na airtel nao watafuata na kwa taarifa isiyo rasmi nilizozipata Bakhresa nao wapo kwenye mchakato wa kuanzisha biashara iliyo katika mfumo wa network marketing, so guys stay humble for adventures.