Soon mtasikia unafiki wa TUKITA

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,691
149,912
Usiniulize "TUKITA" ni kitu gani bali jiongeze.

Hawa jamaa(wasaliti na wanafiki) baada ya kuwa kimya muda wote huo kanakwamba walikuwa hawajui kinachoendelea, siku si nyingi, inawezekana ndani ya wiki hii,watajitokeza katika vyombo vya habari kupinga jambo fulani na wanaweza kusema kabisa tunakusudia kwenda Mahakamani.

Hawa watu si wa kuwaamini na watafanya hivi baada ya kuona kelele zimezidi na zaidi kwasababu teyari kuna wadau wengine wameonyesha ni ya kuchukua hatu ambazo wao ndio walipaswa kuwa wa kwanza kuzichukua.

Na nyinyi wadanganyika mtambue kuwa mkiendelea kuchagua hovyo hovyo mtaendelea kuishi hovyo hovyo.
 
TUKITA ndio tu nini!!?
Kama sijakosea mleta uzi anamaanisha hivi;

Baada ya bodi ya mkopo kuanza kukata 15% taasisi husika zilikua kimya kuna vuguvugu limetokea, baada ya hili vuguvugu kuna taasisi mbili zimesema zitapigania hili swala.

Hofu ni kua, walikua wapi muda wote? Mleta uzi kaonesha inaweza kua hawa wanatumika kwakua walikimbia majukumu yao tangu siku ya 1 bodi inatamba kupandisha asilimia.
 
Great thinker.
 
Kwahiyo mleta maada ni mfanyakazi wa HESLB. Kama ni hivyo peleka salamu, we have'nt even turned the heat on yet!!!
 
Kama sijakosea mleta uzi anamaanisha hivi;

Baada ya bodi ya mkopo kuanza kukata 15% taasisi husika zilikua kimya kuna vuguvugu limetokea, baada ya hili vuguvugu kuna taasisi mbili zimesema zitapigania hili swala.

Hofu ni kua, walikua wapi muda wote? Mleta uzi kaonesha inaweza kua hawa wanatumika kwakua walikimbia majukumu yao tangu siku ya 1 bodi inatamba kupandisha asilimia.

Sasa si angesema TUCTA !!!
 
Usiniulize "TUKITA" ni kitu gani bali jiongeze.

Hawa jamaa(wasaliti na wanafiki) baada ya kuwa kimya muda wote huo kanakwamba walikuwa hawajui kinachoendelea, siku si nyingi, inawezekana ndani ya wiki hii,watajitokeza katika vyombo vya habari kupinga jambo fulani na wanaweza kusema kabisa tunakusudia kwenda Mahakamani.

Hawa watu si wa kuwaamini na watafanya hivi baada ya kuona kelele zimezidi na zaidi kwasababu teyari kuna wadau wengine wameonyesha ni ya kuchukua hatu ambazo wao ndio walipaswa kuwa wa kwanza kuzichukua.

Na nyinyi wadanganyika mtambue kuwa mkiendelea kuchagua hovyo hovyo mtaendelea kuishi hovyo hovyo.
Hiii ni employer association
 
Kama haujui basi hata hii mada ni wazi haikuhusu maana wewe sio mhanga.
Kuna mambo huwa yapo nje kabisa ya ya upeo wa baadi ya watu kufikiri hivyo wasamehè tu mkuu maa humu kuna watu na viloja kuna aina ya mambo ndio huwa yapo ndsani ya uwezo wao kimawazo
 
Wamekaa kimya ili wapitie mikataba yenu na bodi vizur,maana hamchelewi kusem wamekurupuka sasa wanapojipa muda na kutathmini cha kufanya tuliza mshono au tukukate marinda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom