Soon bei za bidhaa zinaweza kupanda kwa kasi ya ajabu

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,145
11,191
Mnaopiga jaramba hapa kusifia vita ikijakutokea vita ya kutisha, tegemeeni hali ngumu ya maisha , bei za bidhaa zitapanda kwa kasi ya ajabu ni swala la muda tu labda mambo yasifike mbali

Watu mnasifia vita ila wengi humu tunaishi kwa misaada wazungu, wengi tunapiga kelele kwenye keyboard humu tukimsifia mrusi ila mida ya kulala tunameza ARV kwa msaada wa wazungu, sasa wakiuwana wakaanguka kiuchumi hivi mmejitafakari , ombeni amani sio vita
 
We are not the big player of this world economy. Nadhani hatuto umia sana in case suala litakuacgua sura mpya
 
Back
Top Bottom