Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,259
- 1,195
This place is turning me into a politician, kwa kweli nilikua sina interest kabisa na mambo ya siasa but I can feel something burning inside me.Natamani kila mtanzania anaejua kusoma angeweza kuingia humu akasoma uchafu unaoendelea serekalini.Naamini kama wenzetu wa vijijini wangekua wanapata hizi nyeti kama mimi-leo kungekua na machafuko makubwa nchi nzima!Hivi haiwezekani tukaipromote hii sites kwa watanzania wote?tuwe na matangazo redioni na mabango mitaani?kama ni fwedha naamini wengi tutakua tayari kuchangia. Nimeamshwa na haka kamtandao na naamini kila atakaeingia humu ataamka tu.
Selfshiness of our leaders in the main issue here: wao na familia zao ndo wanaendesha magari mazuri huko barabarani, majumba mazuri ya kwenye fukwe za bahari yote yao, wakiumwa mafua tu wanakimbilia ulaya-bila haya kabisa,kazi zote nzuri wanawapa watoto wao kwa vijinote tu! On personal note- I have never felt so low in my life( was almost in tears!) bse of any polical related issues na sijawahi kupost article wala comment yoyote kuhusu politics hapa- but im being turned into a politician (if not a fighter) now.
Post ya Kapuya kurejea toka India akiwa mzima wakati mwenyekiti wa CCM wilaya aliepata nae ajali anakufa Muhimbili imenitia huzuni kubwa, najuta hata kwanini niliisoma. Kama tungekua na serekali makini ingekua ni very possible kwa kila mtanzania anaekua involved kwenye critical accident kuwa air lifted toka popote pale alipo na kuletwa Dar-why should it be kwa vingunge tu? si wote tuna roho moja tu? Naamini kila Kanda kama sio mkoa ina uwezo wa kuwa na helkopta for Accidents and Emergencies, ni mipango tu.Kuwa makini kwenye kusaini mikataba ya madini, hakikisha mabilioni ya fedha hayachotwi BOT utaona kua ninachosema sio ndoto.
Hii ya story ya wapinzani leo huko Urafiki ndo imenimaliza kabisa,inatia kinyaa, i felt like puking at the end of it. Kwanini watu hawana aibu kiasi hiki? What on earth were they thinking? kwamba watanzania tutaendelea kulala tu na hakuna kitakachojulikana?. Kuna msitari wa wimbo mmoja wa Hayati Bob Marley anakosema ''..you can fool some people sometimes, but you cant fool all the people all the time..." and this is proving to be very true.Someone, somewhere needs to do something- we cant let this rot go on like this. Cha kushangaza ni kwamba uchaguzi mwingine ukifanyika watu bado wataichagua CCM (kama sio CCM kuiba kura!)
Sorry...have to go and get some antidepressants,i need them today.So pi...d off at the moment.