Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,850 155,800 Oct 4, 2011 #1 Jamani naomba kujulishwa kati ya haya makampuni makubwa wepi wana bidhaa imara na nzuri zaidi. Pia bei nafuu?
Jamani naomba kujulishwa kati ya haya makampuni makubwa wepi wana bidhaa imara na nzuri zaidi. Pia bei nafuu?
Cestus JF-Expert Member Jan 23, 2011 987 131 Oct 4, 2011 #2 Wanatengeneza aina mbalimbali za vifaa..from TV'S,SMART TV'S,BLUERAY PLAYERS,PHONES,PROJECTORS,LAPTOPS...ETC be specific
Wanatengeneza aina mbalimbali za vifaa..from TV'S,SMART TV'S,BLUERAY PLAYERS,PHONES,PROJECTORS,LAPTOPS...ETC be specific