Sony V3 inauzwa

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
15,831
22,938
Simu tajwa hapo juu inauzwa imetumika miezi 3,bado iko kwenye hali nzuri sana,bei 80,000/=.kwa anayehitaji anipigie 0799880429. au anitumie PM.
 
Picha nitaweka baada ya kama masaa 2 niko kwenye pilika nikitulia nitawekea.
 
mimi naziuza hizo mpya laki moja kama mtu ana hela anitafute

Hizi ndio biashara zetu mtaani, ukiona mwenzio kafungua kibanda cha chips na wewe unafungua upande wa pili wa barabara kibanda chako cha chips. Ulikuwa wapi mpaka mwenzio aseme biashara yake nawe umharibie? Haijakaa sawa mkuu
 
Tatizo watu mnatapeliwa hyo sio sony ni x box kuwa makini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom