..click wewe kwanza[lol],kwani ni kamera gani hiyo?maelezo yako mafupi sana!
Kampuni ya bidhaa za SONY kimegundua njia mpya au aina mpya ya kamera... for more infomation click the attachment below...
Hii scam imekuwa ikizunguka mara kadhaa katika email za watu. Kwa nini hamshituki?
..ndo maana nilimuambia a-click yeye kwanza!niliiona haijakaa vizuri!nikakumbuka kitu moja ya powerpoint iliyokuwa wanatumiwa watu!
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us