Sony erickson vs lg

pitbull

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
592
178
Ipi simu nzuri kwa maaana ya ubora na battery life kati ya izo nataka kununua mojawapo!
 
Ndoa ya Sony na Erickson ilikufa,Sony wana Xperia phones sasa hivi. Unaweza pekuapekua google utazipata. Chagua hata moja then njoo kwa ushauri.
 
...Lg simu zao ni nzuri ktk battery life, lakini zingatia kuwa simu yenye resolution kubwa mfano 16 million colours inawahi kuisha chaji ukiilinganisha na 256 colours
 
Wakuu nlikua sijadecide kuhusu model bado ila zenye price around 450000-500000 tshs.
 
Unaweza tafuta post moja ya Chief Mkwawa humu humu anaichambua Xperia M. Pekua utaipata tu
 
Back
Top Bottom