TV4Sale SONY BRAVIA TV (used) 40" inauzwa

Nasakadoo

JF-Expert Member
Sep 18, 2014
343
169
Kama picha zinavyoonekana wadau,hii TV inauzwa, ina ubovu.
Tatizo: Mtoto aliiangusha ikapiga 'kleksi'. Inawaka vizuri na kuonesha ila picha sio nzuri tena. Kwa mujibu wa mafundi inatengenezeka.
Brand ni SONY BRAVIA Inch 40.
Kutokana na ubovu huo, nimeona niiuze tu kwa bei ya Hasara ili kumwachia mnunuzi gharama za kuirudisha kwenye reli.
BEI: 300,000/-
Location: Kibamba-DSM
Simu: 0621 655 513View attachment 2014048View attachment 2014049View attachment 2014050

IMG_20211117_113447_407.jpg
 
Hapa inabidi tujue bei ya sony bravia inch 40 brand new ni sh ngapi tutoe gharama za kuitengeneza hii ndo mteja aamue anunue mpya ama anunue hii arekebisho screen. Kwa mafundi wa spea za flat screen hii inawafaa sana pia. Ama mtu upate tv ambayo kioo ni kizima ila mbovu then uwekewe hapo.Inch 40 sio mchezo kiswahili swahili, mkuu mimi binafsi ningeinunua ila siko vizuri kwa sasa. Watakuja wenye nazo wanunue mzee
 
Sawa mkuu usijali,Kwa tv mpya toleo hili ni parefu kidogo! Hata mtu ununue hii halafu urekebishe bado bei haiikuti ya mpya. So bado ni nafuu japo kila mtu ana uchaguzi wake
 
Hapa inabidi tujue bei ya sony bravia inch 40 brand new ni sh ngapi tutoe gharama za kuitengeneza hii ndo mteja aamue anunue mpya ama anunue hii arekebisho screen. Kwa mafundi wa spea za flat screen hii inawafaa sana pia. Ama mtu upate tv ambayo kioo ni kizima ila mbovu then uwekewe hapo.Inch 40 sio mchezo kiswahili swahili, mkuu mimi binafsi ningeinunua ila siko vizuri kwa sasa. Watakuja wenye nazo wanunue mzee
Kama ni OG bei itakuwa juu sana. Bei ya kioo(display) ni robo tatu ya tv mpya, ndio maana anauza.
 
Back
Top Bottom