bilemasome
Member
- Oct 31, 2016
- 51
- 8
Wakuu naomba tushauriane na kufundishana juu ya hili jambo..
Mchango wako ni wa maana sana..!!
Mchango wako ni wa maana sana..!!
Nimekuelewa sana mkuu, umenipa somo zuri sanakwanza siyo kila mtu anaweza kuandika, halaf ukitaka uwe mwandishi bora jitahid kuwa na at least ki not buk chako popote utakapo kujia mstari au idea iandike,
sometime unaweza ukawa una bonge ya idea, ila mistari haipo, andika idea mistar itakuja, au saa nyingine una mistari miwili mikali sana laki idea ya jumla haipo, we andika mistar, idea itakuja.
simetimes unaweza kuwa na melody kali ila huna ata mstari mmoja, i rekod popote melody yako then uta pata, idea na mistari later.
ila ili kuwa mwandishi mzuri unahitaki kuwa mtulivi na kukaa sehem tulivu, na pia kusikilozia zaid waandishi wazuri au kusoma nyimbp zao.
mfano mimi napenda sana uandishi wa Ne-Yo huwa nakaa nazichek Lyrics zake naskiliza sana na nyimbo alizo tunga, au kuna kichwa hiko kinaitwa Joni Mitchel bonge ya writter mfuatilie
penda kusoma vitabu, kusikiliza stori na kusoma mashairi.
usipokuwa good writter njoo nidai hela
sawaNimekuelewa sana mkuu, umenipa somo zuri sana
ahsanteYote kamaliza mdau apo juu na hyo pia ni kitu nafanyaga
Excellentkwanza siyo kila mtu anaweza kuandika, halaf ukitaka uwe mwandishi bora jitahid kuwa na at least ki not buk chako popote utakapo kujia mstari au idea iandike,
sometime unaweza ukawa una bonge ya idea, ila mistari haipo, andika idea mistar itakuja, au saa nyingine una mistari miwili mikali sana laki idea ya jumla haipo, we andika mistar, idea itakuja.
simetimes unaweza kuwa na melody kali ila huna ata mstari mmoja, i rekod popote melody yako then uta pata, idea na mistari later.
ila ili kuwa mwandishi mzuri unahitaki kuwa mtulivi na kukaa sehem tulivu, na pia kusikilozia zaid waandishi wazuri au kusoma nyimbp zao.
mfano mimi napenda sana uandishi wa Ne-Yo huwa nakaa nazichek Lyrics zake naskiliza sana na nyimbo alizo tunga, au kuna kichwa hiko kinaitwa Joni Mitchel bonge ya writter mfuatilie
penda kusoma vitabu, kusikiliza stori na kusoma mashairi.
usipokuwa good writter njoo nidai hela
Najaribu kuandika mtaalam, ila nataka kuongezea skills ili nikiandika kitu kieleweke and kiwe excellent. ..sawa
wewe tayari ni muandishi kabsa
au una aspire kuwa mwandish?
Yani nishaanza kuthubutu.Najaribu kuandika mtaalam, ila nataka kuongezea skills ili nikiandika kitu kieleweke and kiwe excellent. ..
Yaani nishaanza kuthubutuNajaribu kuandika mtaalam, ila nataka kuongezea skills ili nikiandika kitu kieleweke and kiwe excellent. ..