Songwriting/uandishi wa muziki.

kwanza siyo kila mtu anaweza kuandika, halaf ukitaka uwe mwandishi bora jitahid kuwa na at least ki not buk chako popote utakapo kujia mstari au idea iandike,
sometime unaweza ukawa una bonge ya idea, ila mistari haipo, andika idea mistar itakuja, au saa nyingine una mistari miwili mikali sana laki idea ya jumla haipo, we andika mistar, idea itakuja.
simetimes unaweza kuwa na melody kali ila huna ata mstari mmoja, i rekod popote melody yako then uta pata, idea na mistari later.
ila ili kuwa mwandishi mzuri unahitaki kuwa mtulivi na kukaa sehem tulivu, na pia kusikilozia zaid waandishi wazuri au kusoma nyimbp zao.
mfano mimi napenda sana uandishi wa Ne-Yo huwa nakaa nazichek Lyrics zake naskiliza sana na nyimbo alizo tunga, au kuna kichwa hiko kinaitwa Joni Mitchel bonge ya writter mfuatilie

penda kusoma vitabu, kusikiliza stori na kusoma mashairi.
usipokuwa good writter njoo nidai hela
 
Nimekuelewa sana mkuu, umenipa somo zuri sana
 
Excellent
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom