Songwe: Watu watatu wanaodhaniwa kuwa majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na Polisi

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,506
Watu watatu wanaodhaniwa kuwa majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na jeshi la polisi mkoani Songwe baada ya kutiliwa shaka kutaka kutenda uhalifu eneo la Mpemba mjini Tunduma katika wilaya ya Momba mkoani Songwe
 
Watu watatu wanaodhaniwa kuwa majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na jeshi la polisi mkoani Songwe baada ya kutiliwa shaka kutaka kutenda uhalifu eneo la Mpemba mjini Tunduma katika wilaya ya Momba mkoani Songwe.

Chanzo: ITV
 
"Wanaodhaniwa"?

Hivi Mimi nikimuua mtu halafu nikasema nilidhani ni jambazi inakuaje?
 
Ukienda hapo kwenye majibizano ya risasi utakuta story ya ukimya na utulivu raia hawajasikia chochote

Hongera kwa kazi nzuri Geshi la Porisi
 
Walikuwa wanataka kufanya uhalifu, walipoona polisi wakaanza kurusha risasi, Polisi wakajibu mapigo kwa kufyatua risasi ambazo ziliwapata na walikufa wakati wanapelekwa hospital " ndiyo huwa kauli za polisi wanapoua majambazi.
 
Back
Top Bottom