Songwe: Raia wampiga anayedaiwa kuwa mlinzi wa JKT aliyejificha kukamata magendo

Ni Jambo la heri kuona wananchi wanashirikiana vizur kiasi hcho!

Kama mikoa yote tungekuwa na ushirikiano wa namna hii, Basi tungeheshimiana Sana mitaani!

Hivi machimbo ya jemedari Hamza hayakuwa Songwe? Kama jibu ni "affirmative" - Shikamoo Songwe 😁😁.
 
Safi sana hawa huwa saidia ccm kuiba nyakati za chaguzi !!! Piga kabisa
 
Kwa nini walimuacha hai kenge huyo ? Yaani saaa hv nimekua na roho ngumu sijui kwa nini aise ...
 
Kama hiyo haitoshi, shuhuda huyo alisema lilijitokeza kundi la wananchi waliokuwa wakitokea kwenye msiba na kuanza kuwasaidia vijana hao na ndipo askari wawili walifanikiwa kukimbia kusikojulikana wakizitelekeza pikipiki zao mbili ambazo baadaye zilichomwa moto na wakazi hao.

Hata hivyo, mmoja wao aliyebaki alikimbilia iliyo jirani na kujifungia, lakini wananchi kwa hasira walivunja dirisha la nyumba hiyo na kumtoa nje na kuanza kumshushia kipigo kikali kabla ya Polisi kufika na kumuokoa.
Mtu anarisk maisha yake
 
Kwa comments hiz zinaonesha jins gan watu walivyo jaa chuki mioyoni mwao juu ya vikosi vya ulinzi na usalama
 
Back
Top Bottom