Songwe: Gari la abiria(Coaster) lagongwa na Lori na kuua watu 19 papo hapo! Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

Hiyo miteremko ya huko ni mirefu kiasi gani mpaka iwe inaua kiasi hicho kila mwaka! Mbona hatusikii matukio ya namna hiyo Kitonga, Lukumburu, Nyang'oro, Sekenke na Lushoto kwenye miteremko mikali na kona nyingi zaidi!
 
Nilidhani baad aya kuwa na ving'amua mwendo kwenye magari ajali zitapingua.

Siyo kila gari ina hivyo ving'amua mwendo. Gari zote zilizohusika kwenye hii ajali hazina ving'amua mwendo na chanzo cha ajali kulingana na mamlaka husika ni lori ku fail break. Hata hivyo km unafatilia utagundua kua ajali za mabasi kwa sasa zimepungua sana tofauti na siku za nyuma. Aidha inabidi gari zote ziwe na hivyo ving'amua mwendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom