ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,543
Tatizo ni haraka haraka haina barakaMabasi ya Kilimanjaro mabovu sana!
Tatizo ni haraka haraka haina barakaMabasi ya Kilimanjaro mabovu sana!
Na hii itachangia kupunguza ajali zisizo na msingi barabaranHii gari ilikuwa na bima? Majeruhi wanatibiwa kwa Gharama ya bima au mwenye bus au Serikali?
Marehemu wanne nini kitaendelea kuhusu bima ?
Kuna tabia bus Linaua watu kila mtu anaondoka na mwili wa ndugu yake kwenda kijijini kuuzika hawarudi tena nyuma kuulizia au kuifuatilia bima.
Ninashauri TIRA itoe maelezo na maalekezo kwa abiri wanaotumia vyombo vya moto.
Na nyie mlivowajinga mnapanda hiyo migari mibovu,, yaan unaenda KM zaid 800 unapnda gari namba A la kizaman wakati kuna kampuni nyingi tu zina gari za kisasa!!Ni kweli kabisa Aboud mabasi mabovu anayapeleka Mbeya na Tunduma!
Acha kutetea upuuzi kwa kuwa ww ni mkatisha ticket wa hapo KLM,, hiyo kampun magari ni mabovu na ya kizaman.Huna ushahidi wowote acha kuharibu biashara za watu.
Hakuna gari pale ,, zile ni gonga nyundo tu.Magari yenyewe mengi ya Kilimanjaro yalianza maisha kama LGV trucks huko anaponunua Sawaya akishayaleta bongo anayabadili kuwa mabasi na body anaunga mwenyewe.
Sasa upande basi kama hilo ambalo lipo zaidi ya 10 barabarani na njia zetu hizi; si suicide mission hiyo. Huu utaratibu wa kununua LGV na kuyageuza mabasi na wenyewe ushapitwa na wakati, sidhani kama Kilimanjaro wana bus ambalo lilinuliwa original likiwa basi.
Hizi namba niza mwaka 2002-2003Mabasi yana namba ABX bado yanapiga long safari sio sawa! Hata Abood ana kamchezo hako; yale ya zamani ndio yanapigishwa long safari; mapya yanaishia hapo Morogoro. Huwa siwaelewi.
Ndio ushahidi?Acha kutetea upuuzi kwa kuwa ww ni mkatisha ticket wa hapo KLM,, hiyo kampun magari ni mabovu na ya kizaman
Nyanda za juu kusini hakuna gari luxury.Tunduma kuna visu vya uhakika.
Hiyo mbaula Kilimanjaro imepotea njia tu ilitakiwa iende Babati huko!
Nyanda za juu kusini aina zao za usafiri zinashangaza sana.Yaani route kutoka sumbawanga to Tunduma Hadi dar mabasi hayana ustaarabu Hata kidogo hii tabia ya kupanga ndoo njiani kuanzia seat ya nyuma Hadi mbele nimeshangaa Sana aiseee.. gari linajaza Sana na trafik Hata wachukui hatua... Igeni mikoa ya Arusha na Moshi gari ikiwa level seat it's enough
Acha propaganda miaka hiyo usajili kwa vyombo vya moto Tanzania ulikuwa ni TZ*,, *-A, B, C, HHizi namba niza mwaka 2002-2003
Usimponde bure namba za usajili mpya zilianza miaka hiyo 2003.Acha propaganda miaka hiyo usajili kwa vyombo vya moto Tanzania ulikuwa ni TZ*,, *-A, B, C, H
Huwezi kutumia lugha za kistaarabu kana kwamba hapa Jf wewe pekee ndio mjanja na mjuaji tena mbwatukaji?!!Na nyie mlivowajinga mnapanda hiyo migari mibovu,, yaan unaenda KM zaid 800 unapnda gari namba A la kizaman wakati kuna kampuni nyingi tu zina gari za kisasa!!
Sawa ajali haina kinga ila sio kwa hayo magari mabovu ya kizaman ya KLM,, basi wanazi wanavosifiaga hizo scania za kizaman huwa sielew ni ushabiki au ukumbavu
Shida ya Usafiri mkuu.Hivi hao abiria uwa wanalipa nusu nauli? Mtu na akili zako timamu unakaaje kwenye ndoo?
Unamjua Sauli bwashee?Nyanda za juu kusini hakuna gari luxury.
Shida ya Usafiri mkuu.Hivi hao abiria uwa wanalipa nusu nauli? Mtu na akili zako timamu unakaaje kwenye ndoo?
Nalijua.Unamjua Sauli bwashee?
Wanakuwaga wanajikuna migongo tuSasa mbona huwa wanagalagala chini kukagua?
Sio luxury bus wewe, kuitwa luxury ni tofauti na luxuryUnamjua Sauli bwashee?