Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 851
Kutokana na presentation ya SONGO SONGO LONDON wiki mbili zilizopita, inaonekana kuwa jamaa wa Songo songo wanaweza kusupply umeme Tanzania nzima na kuuza mwingine Kenya
Sasa kwa nini wabunge wa mikoa ya Kaskazini wanawafanyia fitna? maana sasa hivi kuna mgogoro baina wabunge wa Bara vs wa Pwani kuhusu hatma ya Tanesco
Anyway naomba mwenye inside info kuhusu hili atuweke ili tupate elimu zaidi
http://www.tpdc-tz.com/songo_songo.htm