Songea: Uzinduzi wa Kampeni za Ubunge CCM

hugochavez

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
1,907
1,009
Ni mafuriko.

Watu wanasema inasubiriwa tu siku ya kwenda kutumia vichinjio vyao wakamalize kazi...wakampe kura za ndio mgombea wa CCM Daktari wa sheria Damas Ndumbaro... Tukio liko live hapa kata ya Lizaboni. Ni shidaaaaa CCM ni nomaaaa.

536A11A7-2323-4DDE-BE76-5A42ACAE5E3D.jpeg

68B07B62-CEFA-4D8E-92CA-6CC5DDD06D80.jpeg

Mgeni rasmi ni Mwigulu Madelu Lameck Nchemba.

Fuatilia Uzi huu
 
Ni mafuriko. Watu wanasema inasubiriwa tu siku ya kwenda kutumia vichinjio vyao wakamalize kazi...wakampe kura za ndio mgombea wa CCM Daktari wa sheria Damas Ndumbaro... Tukio liko live hapa kata ya Lizaboni. Ni shidaaaaa CCM ni nomaaaa.
Mgeni rasmi ni Mwigulu Madelu Lameck Nchemba. Fuatilia Uzi huu
Vitambulisho vya utaofa vipo maana niliambiwa tutapaya na mda gani vinatolewa ?
 
Ni mafuriko. Watu wanasema inasubiriwa tu siku ya kwenda kutumia vichinjio vyao wakamalize kazi...wakampe kura za ndio mgombea wa CCM Daktari wa sheria Damas Ndumbaro... Tukio liko live hapa kata ya Lizaboni. Ni shidaaaaa CCM ni nomaaaa.
Mgeni rasmi ni Mwigulu Madelu Lameck Nchemba. Fuatilia Uzi huu
Kwani mgombea wa CCM anashindana na nani?!
 
Ni mafuriko. Watu wanasema inasubiriwa tu siku ya kwenda kutumia vichinjio vyao wakamalize kazi...wakampe kura za ndio mgombea wa CCM Daktari wa sheria Damas Ndumbaro... Tukio liko live hapa kata ya Lizaboni. Ni shidaaaaa CCM ni nomaaaa.
Mgeni rasmi ni Mwigulu Madelu Lameck Nchemba. Fuatilia Uzi huu
Jee yale makundi yameishia wapi?
 
mafisadi sifa..
mnaghushi hadi tuzo..
tangu CCM mlipofuta ushindi wa sefu niliamini kwamba kweli CCM ni mafisadi mabwabwa !!
bila jeshi ni mtori !
 
nthebaptist, post: 25089570, member: 228646"]Kwani mgombea wa CCM anashindana na nani?![/QUOTE]
Ovyo kabisa mafisi!
 
mafisadi sifa..
mnaghushi hadi tuzo..
tangu CCM mlipofuta ushindi wa sefu niliamini kwamba kweli CCM ni mafisadi mabwabwa !!
Fisadi ni yule mliyempa kugombea 2015...msijidai mmesahau ...tutawakumbushia hadi mumteme.
 
Back
Top Bottom