Songea: Mkurugenzi wa manispaa ya Songea na diwani wa kata ya mjini wamewekwa mfukoni na mfanyabiashara

Hahah aisee wenye ma bar hapa dar wakienda huko Songea mji utakua na mabilionea wengi sana.
Ndio matajiri wa Songea hao.Yaani kila anayetaka kuanzisha ujasiriamali cha kwanza grocery/pub,hata sebuleni kitu na box kinaitika tu unakuta wameshikilia chupa za bingwa,ukiuliza nini hii unaambiwa ni bar na hatimaye mmiliki kuanza kuitwa tajiri.Nyumba ndogo hapo Songea mitaji wanayopewa/wanayoanzishiwa na mabuzi yao ni vigrocery/pub uchwara na kukopesha nguo(kulangua).Baada ya siku 2 tu unakuta amefunga mlango.
 
Kuandika jina kwny plate no. Kwani ni inshu mkuu?

Si unalipia 5mil kwa miaka 3 au?
Kwako sio issue mkuu,ila sisi Wangoni/Wayao/Wandendeure/Wamatengo/Wanyasa huyo MTU ni bilionea wa kutupwa.Ila kwa wewe unayeishi Masaki/Njiro/Kapri Point hiyo sio issue kiongozi.Akionekana sehemu tu anaoga heshima za kufa mtu na kupishwa njia.He he he he he.
 
Kwako sio issue mkuu,ila sisi Wangoni/Wayao/Wandendeure/Wamatengo/Wanyasa huyo MTU ni bilionea wa kutupwa.Ila kwa wewe unayeishi Masaki/Njiro/Kapri Point hiyo sio issue kiongozi.Akionekana sehemu tu anaoga heshima za kufa mtu na kupishwa njia.He he he he he.[/QUOTE unatuzalilisha wangoni
 
Hapana,sidhalilishi Wangoni,hii ni namna ya kuchangamsha jamvi tu.Mimi mwenyewe Mngoni wa Mpitimbi/Humbaro njia unayoelekea Muhukuru.Karibu tusalimiane Mimi nipo CHUO cha Ufundi Stadi/Veta Mpitimbi.
 
Back
Top Bottom