tusipotoshane
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 730
- 693
Ndio matajiri wa Songea hao.Yaani kila anayetaka kuanzisha ujasiriamali cha kwanza grocery/pub,hata sebuleni kitu na box kinaitika tu unakuta wameshikilia chupa za bingwa,ukiuliza nini hii unaambiwa ni bar na hatimaye mmiliki kuanza kuitwa tajiri.Nyumba ndogo hapo Songea mitaji wanayopewa/wanayoanzishiwa na mabuzi yao ni vigrocery/pub uchwara na kukopesha nguo(kulangua).Baada ya siku 2 tu unakuta amefunga mlango.Hahah aisee wenye ma bar hapa dar wakienda huko Songea mji utakua na mabilionea wengi sana.