Songea: Mkurugenzi wa manispaa ya Songea na diwani wa kata ya mjini wamewekwa mfukoni na mfanyabiashara

Ni majungu kweli ndo maana katoa mfano wa nyumba yake tu, nilidhani labda ana mifano na nyumba za wengine.
nyumba zilizowahi kuomba kibali cha ukarabati zipo kama tano hivi.moja inamilikiwa na familia ya SIMBA,Nyingine inamilikiwa na MABRANDI. nyingine inamilikiwa na familia ya mzee FIDU hizi zote zilinyimwa vibal.hata juzi baazi ya wajumbe wa serikali ya mtaa walipojaribu kuhoji uhalali wa hili jambo walinyamazishwa na mlungula nao wapo kimya baada ya kupokea
 
Songea nako kuna matajiri?
Yes,wapo tena ni wa kiwango cha akina Mengi,Mo,Bakhresa,Shubash, Sabodo nk.Matajiri wakubwa wa hapo Songea ni Omari Msigwa(superfeo),Kisumapai,Kisiwa,Mwilamba,Mabrandi,,anayemiliki bar nyuma ya kanisa LA KKKT,anayemiliki Vijana Bar,Mmiliki wa Yapenda na Mtini Bar,akina Top one,Heritage Hotel,Seed farm,Seven pharmacy,Abas wa Stationary,Hut club ya luhuwiko na wengine wengi .Hawa ndio matajiri/mabilionea wa Songea.Unataka kuwajua mabilionea wengine zaidi?Subiri wajuvi wa mji waje wakudadavulie.Hahahahahaaa!!!
 
Kwa hio mkuu matajiri wa huko ni wanamiliki ma bar sio?
 
super feo,otawa,mwilamba,sajda,wella,
Otawa na basi zake ambazo hazifanyi kazi pale Msamala Shell na ghorofa lake lisilotumika pale Mahenge!!!Awamu hii njia za panya kupata fedha zimedhibitiwa,safi sana awamu ya tano.Wanaotajirika kwa sasa wapo wengi ambao ni wale wenye biashara/shughuli halali!!!!
 
Du, kweli wewe mgeni dunia hii, yaani huwajui matajiri hata kidogo. ninavyojua mimi songea hakuna tajiri..
 
otawa anamiliki semi nyingi tu zinabeba makaa ya mawe ananyumba nyingi tu hapa mjini
 
Ni sampuli hiyo ya umiliki wa bar ndio wanawaita mabilionea.Lakini siamini kwa Songea kama kuna tajiri wa kutisha hata ukiwalinganisha na Iringa au Morogoro achilia mbali Dsm,Mwanza,Arusha,Mbeya nk.
Hahah aisee wenye ma bar hapa dar wakienda huko Songea mji utakua na mabilionea wengi sana.
 
Du, kweli wewe mgeni dunia hii, yaani huwajui matajiri hata kidogo. ninavyojua mimi songea hakuna tajiri..
Yaani hukunielewa mwanzoni,ila kwa quote hii inaonyesha umenielewa.Songea kiukweli hakuna matajiri,si kana kwamba nilimaanisha hao ndio matajiri haswa,bali nilikuwa nataja sampuli ya matajiri wanaosifika Songea wakati wakienda miji mingine hawaonekani kama ni matajiri.
 
Kwa hio mkuu matajiri wa huko ni wanamiliki ma bar sio?
Wao huo ndio utajiri.Bar/grocery/pub Songea zimetapakaa.Halafu Wangoni wanakata maji kweli kweli na kujisifu kwa kwenda mbele kama Wahaya/Wajaluo/Wajita/Wakerewe na umbilikimo wao.Hahahahahaaa!!!
 
Back
Top Bottom