Songea Mbano...Alizikwa bila kichwa!

Chumchang Changchum

JF-Expert Member
Nov 1, 2013
5,930
6,155
Wangoni wataka Kichwa cha shujaa wao Songea kirudi kwani alizikwa bila kichwa..
Je wafahamu kuh iko kichwa cha mtemi huyo aliekataa kuishi na kuwa Mzee peke yake bila ya Ndugu zake walionyongwa siku Tatu baada yake,
 
Mkuu naona umejitahidi kuandika kwa kifupi sana. Anyway, pamoja na ujasiri aliokuwa nao hadi kupinga hadharani kutawaliwa na wajerumani lakini ni mmoja wa viongozi wetu wa Afrika waliokuwa wakitetea utumwa wa waafrika wenzao.

Wangoni walizoea kwenda sehemu mbalimbali kama Mtwara na Lindi kujichukulia watumwa. Walipotakiwa na wajerumani kusaidiana katika kukomesha biashara hiyo ya watumwa kwa kutowachukua watumwa zaidi na pia kuwaachia huru wale watumwa waliokuwa wameshachukuliwa huku wakiwafanyia kazi mbalimbali huyu Songea Mbano alipinga waziwazi jambo hilo akiwa na wenzie.

Hata hivyo pengine jambo muhimu ni kwamba walipinga ukoloni.
 
Jina lake la asili anaitwa Sogelela. Wazungu wakashindwa kulitamka wakaishia kusema songea... ndo ikawa jina linalofahamika mpk leo
 
mwenyekiti nilikuwa namfahamu vyema hata shaban pia,kumbe yuko mbele cku hizi?
Yeah yupo kwa Obama kitambo,Mkuu usikute tulikuwa tunagongana Pande zile za maeneo yale coz watu weng wa maeneo yale nawafahamu bt miaka ya 1999-2002
 
Teh teh..Hizo bangi sasa..Umenikumbusha wanasheria wa Kenya walivyoenda kufungua kesi kuwa Yesu alihukumiwa kimakosa
 
Teh teh..Hizo bangi sasa..Umenikumbusha wanasheria wa Kenya walivyoenda kufungua kesi kuwa Yesu alihukumiwa kimakosa

Hii kesi ina mantiki kwa kuwa yeye shitaka lake lilijikita Zaidi kwenye shambulio la Mwili na udhalilishaji na ukitazama kwa umakini utaona kwamba wayahudi wana shitaka la kujibu!
 
Hii kesi ina mantiki kwa kuwa yeye shitaka lake lilijikita Zaidi kwenye shambulio la Mwili na udhalilishaji na ukitazama kwa umakini utaona kwamba wayahudi wana shitaka la kujibu!
Je Anajua sheria zilizokuwa zinatumika kipindi hicho?..
 
Je Anajua sheria zilizokuwa zinatumika kipindi hicho?..

Una uhakika wowote kwamba kuna sharia yoyote iliyotumika kumhukumu Yesu ama ilikuwa ni Wayahudi kujichukulia sharia mkononi? Hukumbuki kwamba Pilato alijitoa kwenye shauri hili na Wayahudi hawakusubiri kupangiwa hakimu mwingine?
 
Uhakika sina..Na siwezi sema kama walijichukulia sheria mkononi wakati hizo sheria sizijui...We sheria za kiyahudi unazijua?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom