Supervision
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 265
- 203
Mheshimiwa raisi naomba tazama jambo kwa kina kidogo.Juzijuzi nilikuwa nimekwenda songea kufuatilia maswala yangu binafsi nikawa nikashangaa kukutana na maroli mengi nilipouliza nikaambiwa hawa jama wanabeba makaa ya mawe kupeleka viwanda vya cement.
Baada ya stori za hapa na pale nikaona wadau wanalalamika kuwa mbona huku malighafi inaondoka hata kiwanda hakuna,wametusahau kabisa hawa watu.
Ile sera ya wenye eneo husika wanufaike na kitu fulanii kutokana na rasilimali yao ifanyeni hapa siyo lazima wafanye vurugu kama mtwara,watazameni.
Nafikiri mngejaribu kuangalia hata kuwajengea kiwanda cha mbolea ama kiwanda chochote ambacho kinategemea makaa ya mawe.
Nawasilisha