Songea: ACT Wazalendo yavuna mamia ya wanachama wa Chadema

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,168
Aliyekuwa Katibu wa chama cha Chadema Mkoa wa Ruvuma Tasilo Milinga amejiunga na chama cha ACTwazalendo mapema leo Juni 18,2022.

Hapa akimkabidhi kadi yake ya uwanachama ya Chadema Mwenyekiti Taifa wa ACT Juma Duni Haji mara baada ya kujiunga na ACTwazalendo Mjini Songea.
20220618_181254.jpg
 
Upumbavu huu, card ya chadema unaware act?,uzuzu huu huku lingusenguse huwezi kuukuta, na thibitisha hapa kwa facts kuwa CDM ipo hoi
 
Huu ndiyo ujinga wenu ACT ndiyo maana mnaitwa Madalali wa kisiasa,yani nyie mnajivunia kabisa kuua Wapinzani wenzenu? Kwani nyie maadui zenu ni CHADEMA au CCM? Mkiambiwa mlianzishwa kimkakati na dola kuidhoofisha CHADEMA mnakataa sasa hiki ni nini?
 
Aliyekuwa Katibu wa chama cha Chadema Mkoa wa Ruvuma Tasilo Milinga amejiunga na chama cha @ACTwazalendo mapema leo Juni 18,2022.

Hapa akimkabidhi kadi yake ya uwanachama ya Chadema Mwenyekiti Taifa wa ACT Juma Duni Haji mara baada ya kujiunga na @ACTwazalendo Mjini Songea.
View attachment 2265069
Tukikuambia Juma Duni Haji ana kadi ya Chadema utakubali ?
 
Aliyekuwa Katibu wa chama cha Chadema Mkoa wa Ruvuma Tasilo Milinga amejiunga na chama cha @ACTwazalendo mapema leo Juni 18,2022.

Hapa akimkabidhi kadi yake ya uwanachama ya Chadema Mwenyekiti Taifa wa ACT Juma Duni Haji mara baada ya kujiunga na @ACTwazalendo Mjini Songea.
View attachment 2265069

Tangu CHADEMA kiwafukuze kina mdee waliokuwa na ushawishi, mtu wa kawaida kuhama sio habari ya kushtua. Aondoke haraka alikuwa nuksi.
 
Huu ndiyo ujinga wenu ACT ndiyo maana mnaitwa Madalali wa kisiasa,yani nyie mnajivunia kabisa kuua Wapinzani wenzenu?Kwani nyie maadui zenu ni CHADEMA au CCM?
Tundu Lisu na Lema walijiunga chadema wakitokea NCCR. Siamini kuwa walikusudia kuua upinzani.
 
Aliyekuwa Katibu wa chama cha Chadema Mkoa wa Ruvuma Tasilo Milinga amejiunga na chama cha @ACTwazalendo mapema leo Juni 18,2022.

Hapa akimkabidhi kadi yake ya uwanachama ya Chadema Mwenyekiti Taifa wa ACT Juma Duni Haji mara baada ya kujiunga na @ACTwazalendo Mjini Songea.
View attachment 2265069
Hiyo sio habari hata kidogo! Mtu anajitoa kwenye chama cha siasa CDM, anajiunga kwenye saccos ACT ya dalali wa kisiasa ZZK, huyo ni kwa maslahi ya kiuchumi tu hajahama CDM, anatafuta mkopo mdogo tu atarudi!
 
Back
Top Bottom