Song: Hisia za moyoni (Video)

George Betram

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
4,018
4,907

Shukrani kwa Mungu kwa uwepo wa hiki kifanyikacho duniani japo kwenye maisha kuna mambo mengi yanayohusisha watu wengi ndani yake ila kuna muda unaweza ukajihisi mpweke katikati ya kundi la watu,Hisia Za Moyoni ni wimbo unaolezea mengi. Tazama , comment, share na bilakusahau subscribe account yangu kuendelea kufuatilia mengi kutoka kwangu.
Asante.

Facebook : Songa (official page)
Twitter : @NiiteSonga (Official page)
Instagram : @NiiteSonga (Official page)
 
Imani ni bora kuliko dini nashangaa Sana imekuwa bora kuliko..naipenda Sana hii ngoma niwekee audio yako video inakula mb
 
Na HII siwezi kuifanya pasipo NYINYI...
Nipe SHAVU nirushe KOFI kwa RUKSA pasipo MWINYI...
Wanauliza,eti mwisho wa KIFO lini..?
Nawaambia,kipo HAI nadhani mwisho ni CHINI..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom