Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,599
- 217,991
Asalam Aleykhum , huu hapa ujumbe kamili .
Ni sawa kabisa. Unatest kwa ncha ya ulimi then unasukutua na kutema humezi.
Unaweza mbona. Hamna ugumunawaza ile mirojo rojo na mahanjumati nionje halafu niteme!!daah imani ngumu sana aisee
Kijana acha tamaaMimi....nikionja kinashuka moja kwa moja.....
Hana imani ikiwa chungu unaweza tema tamu unashindwaje kwa ajili ya ibada yakeKijana acha tamaa
Ukiwa umefunga unaruhusiwa kumeza mate?Ni sawa kabisa. Unatest kwa ncha ya ulimi then unasukutua na kutema humezi.
Kosa langu nini mkuu ?Pole sana ndugu yangu yupo anayekulinda na kukupa hicho ulichonacho kinachokupa kiburi,kumbuka kuna watu wako mahodini wamelazwa sio kwa kupenda,wengine wamefungwa kwa kuonewa,wewe uliyebahatika kuwa na afya njema baadala ya kumshukuru Mungu unajiona mjanja.Ebu mrudie Mungu wako. Nakukalibisha kwenye Uisilamu
AsanteSamahani bwana nilikuwa namjibu
Huyu Membar anayejiita kijana wa jana,aliyesema hizi dini ni Upuuzi mtupu
NdioUkiwa umefunga unaruhusiwa kumeza mate?