Somo: Tujifunze kuishi kwa unyenyekevu hasa tunapokua na mali

yuleMskinny

JF-Expert Member
Sep 22, 2017
242
136

Mtazame Steve, Milionea aliekua na mbwembwe na majivuno hasa kuhusu kipato chake na mapesa anayomiliki na kua na majivuno mengi. Ila yote yaliisha na kugeuka majonzi na simanzi. Unadhani ni kwa niini?

Kuna kitu kinaitwa kujipanga ila tutake tusitake huwezi kujipanga kwa kifo. Kama utaishi vizuri kwa amani na kupendana na kila mtu basi hata ukipewa taarifa kwamba za kwako ni kesho basi utakua huna wasiwasi na unajua kama unakoenda kuna Mungu basi hesabu zako ziko sawa sawa na matendo yako mema.

Tujifunze kuishi kwa unyenyekevu hasa tunapokua na mali kwani hichi ndicho kipimo tosha cha imani zetu
 
Mkuu, baadhi ya watu wanapopata Mali au madaraka hujisahau na kujiona wako matawi ya juu. Hujiona wao ni watu special wenye akili kubwa, wenye bahati na ndiyo kila kitu. Huwaona watu wengine kama watu wavivu wasiokuwa na fikra na malengo sahihi.

Hujivuna kwa magari mazuri, majumba na shopping kubwa za ughaibuni. Wakumbuke kuwa, kuna siku watashuka tu na wale uliowaacha matawi ya chini ndiyo watakaokupokea.
 
This can't be more true. Ni kweli kabisa mkuu
 
upole..haufanyi usiwe na majivuno ama kulinga upole hauna maana kama huna majivuno
No unajua ni nini mkuu, ukiwa na hela alafu ukawa mpole ni ngumi mtu kujudge character yako. Kama unavojua pesa ni makaratasi tuu ipo siku yatapukutika. Kwa kua watu hawajui tabia zako bado unaweza kusivive mtaani na ukaishi kwa migongo ya watu. Ila ukiwa na pesa alafu kelele mingi ukifulia utakufa siku ya tatu
 
Back
Top Bottom