yuleMskinny
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 242
- 136
Mtazame Steve, Milionea aliekua na mbwembwe na majivuno hasa kuhusu kipato chake na mapesa anayomiliki na kua na majivuno mengi. Ila yote yaliisha na kugeuka majonzi na simanzi. Unadhani ni kwa niini?
Kuna kitu kinaitwa kujipanga ila tutake tusitake huwezi kujipanga kwa kifo. Kama utaishi vizuri kwa amani na kupendana na kila mtu basi hata ukipewa taarifa kwamba za kwako ni kesho basi utakua huna wasiwasi na unajua kama unakoenda kuna Mungu basi hesabu zako ziko sawa sawa na matendo yako mema.
Tujifunze kuishi kwa unyenyekevu hasa tunapokua na mali kwani hichi ndicho kipimo tosha cha imani zetu