Ishu ya house girl wa uganda imekuja pamoja na escoro yani ilikuwa wiki ya burdani kwelikweli
Hii ya eskoro mbona hujaniuliza ina part ngapi?
1. Imeisha
2. Utekelezaji wa maoni ya kamati. Hii usiikose mkuu
3. Wachungaji wa kondoo wameingiaje humo watueleze
4. Hii nadhani itakuwa ya mwisho .utakaso kutoka jumba kuu walipo hao wachungaji kondoo wa bwana