Somo toka kwa M7: no more house girls

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,782
1416893596212.jpg 1416893699046.jpg
 
Yaani hapo mmmmh, bora niache kazi nilee mwenyewe, sio kwamba hawezi anaweza sana ila
 
Ishu ya house girl wa uganda imekuja pamoja na escoro yani ilikuwa wiki ya burdani kwelikweli

Hii ya eskoro mbona hujaniuliza ina part ngapi?
1. Imeisha
2. Utekelezaji wa maoni ya kamati. Hii usiikose mkuu
3. Wachungaji wa kondoo wameingiaje humo watueleze
4. Hii nadhani itakuwa ya mwisho .utakaso kutoka jumba kuu walipo hao wachungaji kondoo wa bwana
 
Itajulikana tuuu
 
Back
Top Bottom