Leo nimevumulia na kuangalia mahojiano kati ya Rizwani Kikwete na Millard Ayo.Amezungumza mengi lakini nimeguswa na hili la kuandikwa baba yake kwenye mitandao.Ritz anakiri kuwa kuna wakati alikerwa na anavyoandikwa baba yake na akamueleza ili angalau ayakemee lakini Kikwete alimjibu "ungeyajua mamlaka ya Rais...."
Hili ni somo kubwa kwetu sote na hasa kwa Raisi wetu.Ajue kuwa akionyesha kukasirika kuna watu ambao wanatafsiri na kuchukua hatua kali.
Mwenyezi wajaalie watawala wetu busara na hekima.
Hili ni somo kubwa kwetu sote na hasa kwa Raisi wetu.Ajue kuwa akionyesha kukasirika kuna watu ambao wanatafsiri na kuchukua hatua kali.
Mwenyezi wajaalie watawala wetu busara na hekima.