Somo lingine kutoka Zambia kwa Sata.

Raimundo

JF-Expert Member
May 23, 2009
13,416
12,600
Kutoka gazeti la Mwananchi, baada ya ile hotuba nzuri ya rais aliyeachia madaraka Bw Rupiah Banda, rais mpya Bw Michael Sata amewachagua mawaziri sita kutoka chama pinzani cha MMD (Chama kinachoondoka madarakani). Jumla ya mawaziri ni 19.

Hapa tuna kuna somo kwa viongozi wetu na Afrika kwa ujumla.
 
Tena mmoja wao mzungu..... Zambia wanatufundisha..... wana CDM tukiingia madarakani...... Ila sisi mzungu tutampata je wakati wote tulionao ni....!!!!
 
Mzungu lakini sio lazima, mi naona jamaa kaangalia utendaji zaidi, na kama kuna wazungu, wahindi wenye mapenzi mema powa kuwa viongozi. Sio wahindi wetu wa jamii ya RA, Mohamed Dewji na wengineo walioko kimaslahi zaidi.
 
Fundisho zuuuri sana la kurudisha wakoloni!! Amemteua Mzungu kuwa Makamo wa Rais!!
 
For once, long after the rare crop of political heavyweights with UPRIGHT CHARACTER both in public and private eye - Kenneth Kaunda, Julius Nyerere, and Nelson Mandela, GREAT LEADER of oustanding quality is realised of the African continent in the name of Michael Satta - a true son of a Zambia peasant with a humble background.

In Tanzania, so much unfortunate though, to suchlike political leading lights, we would often be seeking to daily opaque them from the electorates by saving away their rightful votes in order that we afford a forced chance for another political novice to most undeservingly and selfishly triumph.

God bless our nation, bless Africa of that brand new human resource endowment in our neighbourly nation.

Kutoka gazeti la Mwananchi, baada ya ile hotuba nzuri ya rais aliyeachia madaraka Bw Rupiah Banda, rais mpya Bw Michael Sata amewachagua mawaziri sita kutoka chama pinzani cha MMD (Chama kinachoondoka madarakani). Jumla ya mawaziri ni 19.

Hapa tuna kuna somo kwa viongozi wetu na Afrika kwa ujumla.
 
WATANZANIA TUSIJIZUIE SAANA WIVU WA MAENDELEO KWA WAZAMBIA NA UCHAGUZI MURUA

Ndugu Mikaeli, naona wivu sana mimi kwa jinsi Wazambia mlivyosimamia uchaguzi wenu KATIKA KWELI NA HAKI kwa manufaa ya wananchi wenu wa kawaida.

Kwa kweli roho inauma kwa jinsi ambavyo mlikua na akina KAMANDA KISHIMBO kibao, akina Mohammed Rahman kibao, akina Lewis Makame kibao na ma-Said Mwema na Manumba lakini bado MOYO WA UPENDO NA UNYOOFU ukaendelea kusimama hata darini bila kuwaingiza watu hawa na vyombo vyao katika siasa za uchaguzi wa nchi yenu.

Jamani ni simanzi kuona leo hii Wa-Tanzania tuliokua tuki-export bidhaa hadimu kama vile AMANI, UPENDO, UKOMBOZI na UTAWALA WA KIDEMOKRASIA leo hii tutaanza kulazimika (miaka kadhaa tangu Mwalimu atutoke) kwenda kufunzwa DEMOKRASI na jisi gani kutokung'ang'ania madaraka hata kwa njia ya wizi wa kura.

Wa-Zambia hongera zenu kwa kujiletea heshima kubwa kwenye uchaguzi uliopita. Hongereni sana Mzee Banda na Mzee Sata - you are great men and my heart is proud of both of you for the unique and peaciful transition of power in a democratic and transparent way.
 
good analysis!
 
wazambia waliamua tz je? acheni siasa za ukab, udi, ukanda n.k itawezekana tu hakutakuwa na watu wa kuugawa uma wa watz
 
Suala ni uamuzi tu lakini udilifu lazima utuongoze wakati wote. Taifa linaloendeshwa kwa misingi ya UTAPELI, UONGO, na WIZI WA KURA kawe hauwezi kusimama kwa kipindi kirefu sana.

Mungu huchukizwa na UDANGANYIFU hivyo hata taifa la WADANGANYIFU katika kila kitu kama ambavyo tulivyo hivi sasa Tanzania, ni sharti tukatarajia Mungu kutuadhibu mpaka siku tutakapoamua kuchukua njia kama ya watu wa Zambi.

Back
Top Bottom