mbongokazi
Senior Member
- Dec 31, 2015
- 110
- 23
Hatuwezi kusonga mbele kama taifa kama Elimu inayotolewa inamlenga mtoto kuajiriwa badala ya kujiajiri. Elimu ya ujasiliamali itatatua tatizo la ajira na itaongeza pato la taifa. Kwa nini somo hili plisipewe kipaumbele na wizara ya Elimu ??? Kwa hali ilivyo, kuajiriwa limekuwa jambo lisilo na ufumbuzi hata kwa asilimia hamsini. Tunahitaji kuona ujasiliamali katika bishara,ufundi, kilimo,michezo, sanaa ,
Ubunifu ,electronics na mengine mengi. Je , wewe unasemaje?
Ubunifu ,electronics na mengine mengi. Je , wewe unasemaje?