Somo la uchumi (Economics) linapaswa kufundishwa kuanzia kidato cha kwanza kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara (Bookkeeping/Commerce)

Wapo wengi tu. Lakini jiulize China imeendelea kwa kuwa na wachumi wengi au kwa kuwa na viwanda vingi? Na hivyo viwanda msingi wake ni uchumi au teknolojia?
Kuna kitu kinaitwa co-ordination, mambo mengi yanaanzia kwa wachumi kupanga zen yanafanyiwa implementation basing on the suggestion za wachumi na ndiyo maana tunasema wameendelea kiuchumi yn neno la kwanza ni maendeleo ya kiuchumi zen ndo mengine yanafuata, lkn lazima maendeleo hayo yatokane na co-ordination baina ya taaluma mbalimbali.
 
Habari zenu ndugu wa Jamii Forums.

Kama ni kweli Tanzania inataka kuandaa wachumi na wataalam wazuri wa kutunza hesabu, sasa wakati umefika kwa wataalam wa elimu kuruhusu wadogo zetu wanaochukua mchepuo wa biashara (ECA) kuanza kusoma somo la uchumi (Economics) kuanzia kidato cha kwanza kama ilivyo kwa wale wa PCM, PCB, HGL, CBG na HGK. Tanzania ya mwaka 2011 sio hii ya sasa ya mwaka 2021. We need to change folks.

Guys let me tell you one thing here. Hakuna level nzuri ya kuandaa wataalam kama kidato cha kwanza mpaka cha nne. Unajua kwanini? Sababu kuu ni hii. Mwanafunzi wa kidato cha pili anapojiandaa na mitihani, huwa analazimika kusoma mpaka yale ya kidato cha kwanza.

Yule wa kidato cha tatu akisikia papers zimekaribia anasoma kuanzia yale ya form one, two pamoja na three. Kidato cha nne kikifia ambao ndio mwaka wa mwisho mwanafunzi anajikuta anasoma yoooote ya kidato cha kwaza, cha pili, cha tatu na kile alichopo cha nne, hivyo kumuwezesha kujua masuala mengi madogo madogo katika taaluma yake ile.

Elimu ya chuo mtu akisoma semester moja akafanya papers kisha akafaulu, ndio basi tena hiyo hata akifika semester ya mwisho ya mwaka wa tatu halazimiki tena kusoma masula ya mwaka wa kwanza kwa maana haji kuulizwa katika mtihani wake wa mwisho.

Sasa utaniambia mhasibu aliyesoma Bookkeeping tangia form one, form six hadi chuo anaweza kulingana na yule aliteyetoka PCM Ilboru kisha wote wakaenda kusoma Accountancy UDSM au Mzumbe? Hapana hawawezi kufanana kwa maana huyu mmoja wa ECA alianza nayo tangia akili ikiwa bado haina mambo mengi.

Mbona wanaosoma PCM, HKL na HGL wanaanza na hayo masomo ya Physics, History, Language (English) pamoja na Kiswahili tangia wakiwa kidato cha kwanza? Kwanini Economics ianzie kidato cha tano na sio cha kwanza? Hivi tupo serious kweli katika kuandaa wachumi bora kwa manufaa ya baadae ya Tanzania?

Kama Kiswahili ndio lugha mama ambayo watoto wetu wanaielewa vema na ndio iliyotumika kuwafundisha masuala ya afya na mfumo mzima wa umeng'enyaji wa chakula kuanzia darasa la kwanza mpaka la saba, kwanini tena mwanafunzi anayeandaliwa kuja kuwa mchumi bora asome tena biology kwa kiingereza kwa muda wa miaka 4, somo ambalo hawezi kulitumia katika kuunda combination ya kumpeleka kidato cha tano?

Hii ni nini kama sio kupoteza muda wa mtoto? Kwani kuna combination ya biology na bookkeeping? Kuna mchepuo gani wa Biology na commerec?

Wanaochukua mchepuo wa sayansi waendelee na hiyo biology yao kwa maana wanaweza kuunda combination kwa masomo mengine kama Physics na Chemistry, lakini mwanafunzi anayesoma Commerce na Bookkeeping mnamfundisha biology ya nini? Kwanini msitoe hiyo biology mkaweka Economics?

Katika masomo yoooote ya A level, ni economics pekee ndio halianzii kidato cha kwanza. Kwanini? Mfumo wetu wa elimu unahitaji mabadiliko makubwa sana kwa maana Tanzania ya 2001 sio sawa na hii ya 2021.

Maoni ya wadau;
==========

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Nashauri lifundishwe kuanzia vidudu hata nyumbani. Hiki ndicho wazungu wamefanya kwa miaka mingi.
 
Kuna baadhi ya masomo ni delicate.ndomaana hakuna diploma ya economics tz. Mi nafikiri tuwapunguzie watoto mizigo.mtoto ana masomo 9 na bado umpe na economics inakuwa mzigo sana. Wacha waikute advance.mwisho basic knowledge ya uchumi ipo kwenye commerce.
Kwahiyo unataka kusema Economics delicate, sio?!

Nyie vijana wa siku hizi mitaala yenu imechakachuliwa sana lakini ungesoma enzi zetu wala usingethubutu kusema Economics ni delicate (kama ndicho unachomaanisha)!!

Nakumbuka mwaka tumemaliza Form VI hapakuwa na A ya Economics! Jumla B na C Tanzania mzima zilikuwa hazifiki 10!!

Few years later nikawa nasikia madogo wanagonga A and B za kutosha! Nikataka kufahamu ikiwa sisi tulikuwa vilaza sana au vipi, nikaja kugungua kulifanyika mabadiliko makubwa sana kwenye Economics Paper II ambayo ndo ilikuwa na marks nyingi.

Hii Paper II ndiyo ilikuwa inafelisha watu kwa sababu ilikuwa inahitaji REASONING ya kutosha kuliko uwezo wa kukariri mambo! Ilikuwa kawaida sana mtu kugonga 85% kwenye Paper I lakini akaishia kugonga 30% kwenye Paper II.

Paper I had nothing new.... ukishasoma notice, utafaulu tu! Paper II hata usiposoma Critical Thinker anaweza kujibu provided anafahamu basic economic principles!!

Kwa bahati mbaya sana, wale waliokuwa wamebadilisha ule utaratibu wakasahau kwamba Economics is ALL about Critical Thinking, Reasoning ufahamu wa mambo mbalimbali!

Wakaona Paper II inafelisha sana wakidhani tatizo ni Paper II bila kufahamu kwamba tatizo Watanzania critical thinking yetu and reasoning ipo chini sana!!!

Kwahiyo hata hoja ya Infantry Soldier haiwezi kusaidia endapo wanafunzi hawafundishwi "to think critically" na ku-reason mambo kwa sababu tatizo la kutokuwa na wachumi wazuri halitokani na kuanza kusoma Economics from A-Level bali ni kwa sababu we don't think critically!!

Leo hii Shilingi ikishuka thamani vs US Dollar, majority watasema kwa sababu Magufuli hayupo kwa sababu hawa wanadhani uchumi unahitaji msuli badala ya reasoning ya kwanini ipo hivi na isiwe vile!!!

Wiki kadhaa zilizopita Professor Muhongo kazungumzia Gas Economy na kwa vipi umeme wa maji usivyo bora kiuchumi compared to gas, majority hapa kwanza wakamkashifu Muhongo na wakajadili hoja in terms of "price" wakati yeye kazungumzia "economy" ambayo kwenye issue kama hiyo itachambua mambo mengi sana, tena sana kuliko suala la bei!
 
Kwahiyo hata hoja ya @Infantry Soldier haiwezi kusaidia endapo wanafunzi hawafundishwi "to think critically" na ku-reason mambo kwa sababu tatizo la kutokuwa na wachumi wazuri halitokani na kuanza kusoma Economics from A-Level bali ni kwa sababu we don't think critically!!
Asante sana mkuu, umefafanua vema. Sasa tunafanyaje ili watoto/wadogo zetu wawe na uwezo wa kufanya critical thinking?
 
Nakumbuka mwaka tumemaliza Form VI hapakuwa na A ya Economics! Jumla B na C Tanzania mzima zilikuwa hazifiki 10!!

Few years later nikawa nasikia madogo wanagonga A and B za kutosha! Nikataka kufahamu ikiwa sisi tulikuwa vilaza sana au vipi, nikaja kugungua kulifanyika mabadiliko makubwa sana kwenye Economics Paper II ambayo ndo ilikuwa na marks nyingi.

Hii Paper II ndiyo ilikuwa inafelisha watu kwa sababu ilikuwa inahitaji REASONING ya kutosha kuliko uwezo wa kukariri mambo! Ilikuwa kawaida sana mtu kugonga 85% kwenye Paper I lakini akaishia kugonga 30% kwenye Paper II.

Paper I had nothing new.... ukishasoma notice, utafaulu tu! Paper II hata usiposoma Critical Thinker anaweza kujibu provided anafahamu basic economic principles!!

Kwa bahati mbaya sana, wale waliokuwa wamebadilisha ule utaratibu wakasahau kwamba Economics is ALL about Critical Thinking, Reasoning ufahamu wa mambo mbalimbali!

Wakaona Paper II inafelisha sana wakidhani tatizo ni Paper II bila kufahamu kwamba tatizo Watanzania critical thinking yetu and reasoning ipo chini sana!!!
Huu ni ukweli mchungu sana mkuu. Siku hizi divisions one na two zipo nyingi saaaaana ukijaribu kufuatilia matokeo ya vijana wa vidato vya nne na sita.

Jambo lililokuja kunishangaza zaidi ni kwamba eti wanafunzi wanaofanya mtihani wa physics kwa kidato cha nne wanaruhusiwa kuingia na calculators. Sad...!!!!
 
Kwahiyo unataka kusema Economics delicate, sio?!

Nyie vijana wa siku hizi mitaala yenu imechakachuliwa sana lakini ungesoma enzi zetu wala usingethubutu kusema Economics ni delicate (kama ndicho unachomaanisha)!!

Nakumbuka mwaka tumemaliza Form VI hapakuwa na A ya Economics! Jumla B na C Tanzania mzima zilikuwa hazifiki 10!!

Few years later nikawa nasikia madogo wanagonga A and B za kutosha! Nikataka kufahamu ikiwa sisi tulikuwa vilaza sana au vipi, nikaja kugungua kulifanyika mabadiliko makubwa sana kwenye Economics Paper II ambayo ndo ilikuwa na marks nyingi.

Hii Paper II ndiyo ilikuwa inafelisha watu kwa sababu ilikuwa inahitaji REASONING ya kutosha kuliko uwezo wa kukariri mambo! Ilikuwa kawaida sana mtu kugonga 85% kwenye Paper I lakini akaishia kugonga 30% kwenye Paper II.

Paper I had nothing new.... ukishasoma notice, utafaulu tu! Paper II hata usiposoma Critical Thinker anaweza kujibu provided anafahamu basic economic principles!!

Kwa bahati mbaya sana, wale waliokuwa wamebadilisha ule utaratibu wakasahau kwamba Economics is ALL about Critical Thinking, Reasoning ufahamu wa mambo mbalimbali!

Wakaona Paper II inafelisha sana wakidhani tatizo ni Paper II bila kufahamu kwamba tatizo Watanzania critical thinking yetu and reasoning ipo chini sana!!!

Kwahiyo hata hoja ya Infantry Soldier haiwezi kusaidia endapo wanafunzi hawafundishwi "to think critically" na ku-reason mambo kwa sababu tatizo la kutokuwa na wachumi wazuri halitokani na kuanza kusoma Economics from A-Level bali ni kwa sababu we don't think critically!!

Leo hii Shilingi ikishuka thamani vs US Dollar, majority watasema kwa sababu Magufuli hayupo kwa sababu hawa wanadhani uchumi unahitaji msuli badala ya reasoning ya kwanini ipo hivi na isiwe vile!!!

Wiki kadhaa zilizopita Professor Muhongo kazungumzia Gas Economy na kwa vipi umeme wa maji usivyo bora kiuchumi compared to gas, majority hapa kwanza wakamkashifu Muhongo na wakajadili hoja in terms of "price" wakati yeye kazungumzia "economy" ambayo kwenye issue kama hiyo itachambua mambo mengi sana, tena sana kuliko suala la bei!
Nimeisoma kwa makini hoja zako.sijajuwa umemaliza shule mwaka gani. Ila nnacho kijuwa mimi miaka ya zaman A za economics zilikuwa zinatoka nyingi sana kuliko miaka hii.nnaongea nna facts nyingi tu ukitaka ntakupatia.

Na usifananishe uwezo wako na uwezo wa watu wengine wewe kama ulikuwa huna uwezo wa kutengeneza A niwew mkuu.

Kuhusu kufaulu miaka ya sasa hv ni sahihi kabisa, sababu circulation ya material imekuwa kubwa sana.walimu ni wengi lakini pia vijana wa siku hz wanaanza kujielewa mapema na maandalizi mapema sana.mimi naenda shule nilimaliza topics zote za uchumi form 5 nyumbani.narud december nikamaliza za six.

Nnacho kubaliana nawew ni kweli uchumi inahitaj sasa uwe critical thinker. Yan uelewe vitu na uweze kuvi analyze.nataman ningesoma hyo paper 2 yenu sidhan kama ningekuja kulalamika umu kwa kupata 30 kawew

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Samia anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda Mjerumani miaka hiyo wakati bado anaitawala Tanganyika kwa mabavu
 
Tunamuondolea biology kisha tunampa economics kwa maana masuala ya msingi ya afya aliyasoma shule ya msingi, tena kwa Kiswahili lugha mama akayaelewa vizuri mkuu.
Utakuwa unatengeneza tatizo lingine sio kutatua tatizo.

Yaani uondoe biology ulete economics

We sema liongezww sio kuondoa SoMo fulani maana yote Yana umuhimu wake

Biology ya shule ya msingi(sayansi)haiwezi kuwa sawa na biology ya secondary .
 
Kama Biology ina umuhimu mbona watu wa ECA, HGE na HKL hawaisomi huko A level?
 
Ni kweli kabisa lakini biology inawapa mwanga sana vijana wetu hasa wa kike kutokana na suala la kugusia zaidi katika maisha yao hasa ya ujana na balehe
Mbona wanafunzi wa A level bado ni vijana na hawaisomi kama compulsory subject?
 
Back
Top Bottom