johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,761
- 141,626
Chadema mara zote huwa inajinasibu kwa kaulimbiu ya Nguvu ya Umma ( Peoples power) na wengi wanaamini nguvu ya umma huratibiwa na wanasiasa.
Pale Sudan ambako nguvu ya umma imemtupa nje ya madaraka Rais Bashir waratibu wa mchakato ni wananchi wazalendo wasiojua hata maana ya ruzuku.
Hili ni somo zuri kwa makamanda wa Ufipa kwamba Peoples power huibuliwa na wazalendo wanaomaanisha siyo wale ambao wakisikia Muroto anakuja wanatoka mbio kujificha majumbani mwao.
Maendeleo hayana vyama!