Somo la Physics, Chemistry Mazengo Secondary

alexmahone

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
482
405
Siku ya kwanza Mwalimu wa Physics advance anaingia darasani (Mazengo secondary), anajitambulisha kwa jina anaitwa MKOMA. Anaongea mambo mengi ya kujenga na kuongeza ufaulu, anazungumzia Timed test dah napata shauku kubwa sana nagundua kuwa ndoto zangu za kupiga div 1 ya point tatu na kutia heshima TZ nikiwa TO kutoka PCB zinakamilika.

Khaaa Imani inaniisha napatwa na mashaka siku iliyofuata siku ambayo mwalimu Mkoma anakuja kufundisha rasmi, aysee mwalimu wa Physics ana chaki tano kila moja na rangi yake, ana rula ndefu sana na nyingine fupi, ana duster la kufutia ubao.

Ooooh My God,anapiga mstari wa pambizo na chaki nyekundu. anaandika juu MECHANICS na chaki ya rangi ya njano anapigia mistari miwili na chaki ya blue.Anaandika Tarehe na chaki nyeupe,anakosea kidogo mwaka anarudi kuchukua duster.

Lahaula anachukua notes zake anakopi pale ubaoni kwa chaki nyeupe, ana mwaandiko mzuri sijapata kuona.Hata mwalimu wa Kiswahili na historia walionifundisha O level hawajawahi kuandika hivyo.

Ana maliza dakika zake 45, anasema kesho tutaendeleza sehemu inayofuata kwa leo nimemaliza mwenye swali tafadhali. Darasa zima linaangua kicheko, yeyee anasema mnafurahi haya bwana huyo anakusanya vitu vyake anasepa.

Mara anaingia Mwalimu wa Chemistry anasema yeye anaitwa Mutta au Anold Shwaziniga, amevaa miwani kama kwenye Terminator. Yeye ni beat mwanzo mwisho anasema kuna wenzetu waliotangulia walimuiba notes sasa amegoma hagawi tena notes hivyo tujitafutie.

Dahh wingu naliona katika haya masomo mawili nagundua sasa ni msuli binafsi na kukomaa na tution.. Ama kweli Physics na Chemistry Mazengo Secondary siwezi kuisahau kabisaa..
 
ha ha! nimekumbuka mbali sana.tulifanya mtihani wa mock, tokeo likatoka hata bila mitihani kusahihishwa.tulipostuka tulimbeba juu juu MKOMA.kilinuka mpaka hela za mock zikarudishwa.
 
Siku ya kwanza Mwalimu wa Physics advance anaingia darasani (Mazengo secondary), anajitambulisha kwa jina anaitwa MKOMA. Anaongea mambo mengi ya kujenga na kuongeza ufaulu, anazungumzia Timed test dah napata shauku kubwa sana nagundua kuwa ndoto zangu za kupiga div 1 ya point tatu na kutia heshima TZ nikiwa TO kutoka PCB zinakamilika.

Khaaa Imani inaniisha napatwa na mashaka siku iliyofuata siku ambayo mwalimu Mkoma anakuja kufundisha rasmi, aysee mwalimu wa Physics ana chaki tano kila moja na rangi yake, ana rula ndefu sana na nyingine fupi, ana duster la kufutia ubao_Ooooh My God,anapiga mstari wa pambizo na chaki nyekundu.

Anaandika juu MECHANICS na chaki ya rangi ya njano anapigia mistari miwili na chaki ya blue.Anaandika Tarehe na chaki nyeupe,anakosea kidogo mwaka anarudi kuchukua duster.

Lahaula anachukua notes zake anakopi pale ubaoni kwa chaki nyeupe, ana mwaandiko mzuri sijapata kuona.Hata mwalimu wa Kiswahili na historia walionifundisha O level hawajawahi kuandika hivyo.Ana maliza dakika zake 45,anasema kesho tutaendeleza sehemu inayofuata kwa leo nimemaliza mwenye swali tafadhali. Darasa zima linaangua kicheko, yeyee anasema mnafurahi haya bwana huyo anakusanya vitu vyake anasepa.

Mara anaingia Mwalimu wa Chemistry anasema yeye anaitwa Mutta au Anold Shwaziniga, amevaa miwani kama kwenye Terminator. Yeye ni beat mwanzo mwisho anasema kuna wenzetu waliotangulia walimuiba notes sasa amegoma hagawi tena notes hivyo tujitafutie.

Dahh wingu naliona katika haya masomo mawili nagundua sasa ni msuli binafsi na kukomaa na tution..
Ama kweli Physics na Chemistry Mazengo Secondary siwezi kuisahau kabisaa..

Hahahahaaa umenikumbusha mbali sana. Mkoma alikuwa anatinga Darasani yuko pombe mbaya.... kuna mzungu alikuja akawa anafundisha Physics advance anaitwa Bryce. kuna ticha mwingine mbongo alikuwa anafundisha Pure Maths alikuwa mzee wa porojo sana sikumbuki jina lake lakini naambiwa kwa sasa ni lecturer pale CBE dodoma
 
Walini disappoint sana sana kubadili Ile shule na kuwa chuo very Disappointing
 
Duh haya
 
Attachments

  • WP_20160419_12_36_52_Selfie(1).jpg
    WP_20160419_12_36_52_Selfie(1).jpg
    226.3 KB · Views: 76
Hahahahaaa umenikumbusha mbali sana. Mkoma alikuwa anatinga Darasani yuko pombe mbaya.... kuna mzungu alikuja akawa anafundisha Physics advance anaitwa Bryce. kuna ticha mwingine mbongo alikuwa anafundisha Pure Maths alikuwa mzee wa porojo sana sikumbuki jina lake lakini naambiwa kwa sasa ni lecturer pale CBE dodoma
Anaitwa Tandike,ni noma kwa number. Nina banda lake.
 
Daah mnanikumbusha mbali sana wana chamber, hivi wakuu huyu jamaa M-nigeria yupo wapi siku hizi?
Alikuwa black kinoma ndo cha chanzo cha kuitwa mnaija.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom