Somo la Leo: Je, wajua kirefu cha WI-FI? Na watambua kuwa neno Computer ni kifupi cha maneno wala si jina?

Naona mkuu Britannia umesahau jina maarufu la kuinganisho ambacho kila mtu anatumia kila siku iwe waya, charger au simu na vingine.

USB

Universal Serial Bus
 
Mkuu kwenye neno computer umechapia, japo hizo acronym zipo tena zipo za aina nyingi, ila sio tafsiri sahihi ya neno computer, computer imetokana na neno compute...naishia hapa
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Kwa kuongezea na hapo kwa Dell na virus....zina specific meaning and origin so acronym zake sio special mtu yeyote anaweza buni maana yake kwa ajili ya matumizi yake
Mkuu kwenye neno computer umechapia, japo hizo acronym zipo tena zipo za aina nyingi, ila sio tafsiri sahihi ya neno computer, computer imetokana na neno compute...naishia hapa
 
Computer ni jina (verb yake ni compute). Lipo kabla hata ya "computer" tunazozijua leo. Root yake inatokea kwenye kifaransa na kilatin.
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom