Somo la History siku hizi limekuwa gumu au linakazwa ili kupunguza vijana kuendelea na kidato cha tano?

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
757
1,020
Shule nyingi za serikali hata zile za private ufaulu katika Hili some ni mdogo Sanaa. Tatizo ni nini? Au necta wana kaza pepa ili wanaofaulu kwenda kidato Cha tano wawe wa Chache kwa kuwa Hili somo Ni kiungo Cha combination za Art.
 
NILIKUWA NAANDIKA KU`POST UZI WA JUU WA SOMO HILI LA HISTORY........YAANI HISTORY HATA WANACHUO WENGI HUWA WANALILALAMIKIA KARIBU ZAIDI YA MIAKA MITANO,HISTORY SIO VYUONI WALA SHULE YA SEKONDARI NI TATIZO
 
Nakumbuka wanachuo wenzangu walivokuwa wanalia na hili somo. Nahis wakuuu walishatoa order ya kukazwa ugumu hili somo ili lisichukuliwe powa😃
 
History point za essay ni zile zile, au zimebadilika?

Depopulation
Unskilled labor
Famine
Intermarriage
.......
 
Kuna jinsi ya kujibu maswali lakini bahati mbaya wanafunzi huwa hawafundishwi mbinu za kujibu maswali
 
Wanafunzi siku hizi ukiwauliza wataje vitu vitano ambavyo chifu ( mtemi) Mkwawa alivifanya akajulikana sana hawajui, lla ukiwauliza wataje baba zake diamond platinum na mama yake kwa majina watakutajia mpaka majina mpaka ya a.k.a na rangi zao .....!! Halafu tutarajie wapasi kwenye historia ya shuleni ? Kweli...!!?

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom