Somo la Hisabati bado ni changamoto

Wapi huko?
Kwani bado wanatumia fimbo wakati kuna uwezo wa kutumia mbinu tofautinza ufundishaji kusaidia wanafunzi waliopata F?
Morogoro huko...bado fimbo zinatumika ndugu,matamko ya wanasiasa yanaishia huko huko jukwaani...ila huko mashuleni ni viboko vya haja vinatembea.
 
hapa tunazungumzia shule ya msingi ambapo ndio msingi wa somo la Hisabati.

Swali la kujiuliza hapa ni kwa nini wanafunzi wafeli somo la Hisabati halafu masomo mengine wanafaulu?

kwa mtazamo wangu naona Tatizo lipo kwenye Utungaji wa mtihani wa hisabati.......mtihani haulengi kumpima mwanafunzi bali kumkomoa azidi kuona hesabati sio kitu cha mvhezo!

Prof: Mkenda Waziri wa Elimu na Timu yake wanapaswa wafanye jambo kwenye suala hili la somo la Hisabati Shule za Msingi ambapo ndipo msingi hujengwa.
 
Back
Top Bottom