Somo kwetu tujifunze Definition ya uchumi kwa siasa zetu za sasa

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,610
13,160
Old economist, Adam Smith " Father of economics" alitoa definition uchumi bora ni kuwa na ukwasi ( ardhi,fedha ,dhahabu...) wa mtu , familia, jamii, jumuia ama taifa bila kujali namna ukwasi ulivyopatikana iwe kuuwa,kudhulumu, ..." wealth of the nation...." Karne ya 14.....17

Classical economist Marshall na wenzake wakaongeza " .... and human behaviour.."( ....ndio mtu, taifa, himaya , ama taifa ni tajiri, ila namna ipi ya utu ,uugwana wameupata utajiri /ukwasi.... Karne 17.

Kuna watu wanashangilia ushindi wa kisiasa, wapo binadamu wenzetu wamepoteza maisha (Zbar),pesa,rasilimali nk, Leo karne ya 21... tupo wapi. Mbaya zaidi hatuna haki ya kuhoji hata mahakamani matokeo urais.

Tukanyage kwa adabu ardhi ya muumba.
 
Back
Top Bottom