Somo kwa wadada.' .Utumwa huu ni zaidi ya ule wa wakoloni!!

menny terry

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
509
667
jamani mimi nina fanya kaz na NGO'S Moja ya kidini so huwa nakvana na watu wengi na kuwasaidia kuna hili nimekutana nalo juz kat nimeona nililete hapa kama onyo..' kalikuja kabinti kamoja karembo kweli lakini kenye sura ya huzuni mara kakaanza kunisimulia lol kidogo ni lie.Kwamba kameolewa miaka 5 iliyopita lakini kabla kalikuwa na boyfriend wake na kwa sababu kule kwa wenzetu bikra ni heshima ikabidi boyfriend wake awe anapita mlango wa nyuma au kwa lugha nyingine tigo baada ya miaka 3 hivi akaja olewa sasa the thing iz kwa miaka mitatu hivi huwa mumewe akiondoka inabidi aende kwa yule boyfriend wake wazamani ili akaliwe tigo.!! Amejaribu kuacha lakini wapi. Na anaogopa mumewe asije jua. ..Now days najua kuna wadada wengi mnaobembelezwa tena mnaahidiwa mazawadi kibao but msikubal huu ni utumwa mbaya kuliko wakipindi cha ukoloni.
 
Nikikutana na uzi wa mlango wa nyuma hua fikra zangu zinakua hay wire kidogo..... Merryterry dear nukuja....
 
Ushauri mzuri sana lakini mimi ninavyowajua wadada wa siku hizi hawataacha, Tegemea kesi za namna hiyo nyingi mno.

Kule kwa wenzako ni wapi? Hapa nchini au..........?
Pia maadili yako ya kazi yakoje, kwani kama mtu anakuja kukuambia matatizo yake na wewe unayaleta hapa jf,
 
Hii ishu ya tigo ipo sana na watu wengi sana wanajiunga na mtandao huu. Na wakati mwingine akina dada wenyewe inasemekana ndio wanaolazimisha mtandao huo utumike.
 
Wenye tabia hii nawashauri waache kwani madhara ayapatayo mwanamke ni makubwa hasa wakati wa kujifungua,pia kinyesi kinakuwa kinamtoka ovyo.Wote wafanyao mchezo huu wa kinyume na maumbile washindwe na walegee kwa jina la Yesu,wenye tabia hii ya usodoma na gomola waiache kabisa.
 
Hiyo issue yataka moyo, kugawa tigo du kazi kweli. mpe pole sana uyo mdada
 
kinachonikera mm ni kutokuwa mkweli kwenye mahusiano from the word go! kuna haja ya kujadili expectations zako kwenye uhusiano kabla ya kujiingiza. manake sasa shida inakuja, wanaume wenye kupenda huo mtandao (leave morality out of this), wanawapa shida wake zao either kwa kuwashawishi ama kwa kutoka nje kwa siri. haya sasa na wanawake wapenda mtandao huu hawana courage ya kushawishi waume zao wanaishia kutoka nje kisirisiri!jamani wakaka tusaidieni,muwe mnauliza maswali magumu basi!
 
Its very bad, huyo binti anahitaji msaada sana, huo mchezo mtu akiuanza huwa ni kazi sana kuacha kwa sababu ya saikolojia au some physical/ biological factors. Kwa imani yako endelea kumuombea na kumshauri. Wako mengi na siku hizi imekuwa fashion
 
kinachonikera mm ni kutokuwa mkweli kwenye mahusiano from the word go! kuna haja ya kujadili expectations zako kwenye uhusiano kabla ya kujiingiza. manake sasa shida inakuja, wanaume wenye kupenda huo mtandao (leave morality out of this), wanawapa shida wake zao either kwa kuwashawishi ama kwa kutoka nje kwa siri. haya sasa na wanawake wapenda mtandao huu hawana courage ya kushawishi waume zao wanaishia kutoka nje kisirisiri!jamani wakaka tusaidieni,muwe mnauliza maswali magumu basi!

Unachokisema ni kweli kabisa King'asti, mahusiano ya watu wengi yako kisanii ni kama maigizo vile, watu watoka kisiri ile mbaya
 
i wish watu wangekuwa wazi zaidi, tungekuwa na amani ya kutosha. ther is someone for everyone, kuna mtu anatamani mkewe awe wild, three some + bhangi nyumbani. lakini kuna mdada wa hivyo ana-pretend na kujibania kwenye angle. nachukia sana kwa kweli!hali kadhalika kwa wanaume pia!

Unachokisema ni kweli kabisa King'asti, mahusiano ya watu wengi yako kisanii ni kama maigizo vile, watu watoka kisiri ile mbaya
 
Wadada wengine huwa hawalazimishwi,bali wanataka wenyewe!Wanadai hawataki kuonekana washamba,wat a shame!
 
kwa kuwa amekuja kukuona,naamini hicho kitendo hakitaki tena,na umsaidie,anaona shida gani kuachana na huyo jamaa wa pembeni?.si ashukuru hayo mambo mume wake hayahitaji .w.ke wengine hutoa kwa kujilazimisha kulinda ndoa zao
 
Back
Top Bottom