Somo kwa mjasiriamali mchanga na wa kati. Hatau ya 1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Somo kwa mjasiriamali mchanga na wa kati. Hatau ya 1

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by galagaja mtoto, Jun 7, 2012.

 1. galagaja mtoto

  galagaja mtoto Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndugu dhangu nimeona tushirikiane pamoja mkate huu kwa wale wenye kutafuta nini wafanye wanapotaka kuwa wajathiriamali, hidhi ni chache tu na jamvi likiruhuthu nitawaletea masomo haya kwa kina kupitia hapa na pale nitakophitajika kwani thioni thababu ya kukaa kimya na ujudhi nilionao wakati kumbe wengine wanauhitaji.Kwa kuandhia tu kumbuka kuwa hivyo vilivyokudhunguka hapo ulipo vyawedha kutumika kama mtaji wako. Fuatilia kwa makini thana nitakapoandha kufafanua moja juu lingine katika muhtathari wa mambo haya yafuatayo; ongodhana na mimi………..Uone utawedhaje kufanikiwa..  • Ubunifu (andaa mpango wa biashara yako)
  • kujituma
  • fanya kadhi mwenyewe(uthiajiri mtu kwandha)
  • tundha mahethabu vidhuri
  • uvumilivu
  • fanya kazi kwa muda mrefu
  • kubali hathara penye faida
  • ujathiri(uthiogope)
  • kubali changammoto(uthidharau)
  • pigania kuongedha mtaji inapobidi
  • heshimu wateja wako
  • tanua soko lako
  • fanya tathmini ya biashara yako kila wakati na ukibaini maendeleo chanya endelea nayo, kama ni hathi andha kufikiri upya juu ya mpango wako na uendeledhaji wake.
  “KAMA HUUELEWI UKIMYA WANGU HUWEZI KUELEWA MANENO YANGU”
   
 2. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,806
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Dah! KITHEMBE THATHA!
   
 3. J

  Joachim Morgan Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hiyo ndio mbinu kubwa ya kuanza biashara ila Watanzania wengi tunafikili mtaji ndio tataizo. Mimi nilianza biashara na kiasi cha tshs 800,000 lakini leo sikosi pesa ya kula japo si sana ila nina tofauti sana na anaelipwa laki tatu kwenye haya Mabenki yetu.
   
Loading...