Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,877
- 2,756
kweli hapo 2x2= 5hii itakwisha lini? huku wakati huu ni moshi
Mi naona powa tu. Usipochukuaga hayo mafuta si yanaenda kumwagika ardhini. Total loss. Kama wanayavuna na kuyahifadhi mi naona fresh tatizo tu ni safety.
..Hakuna cha uangalifu hapo anaweza kutokea mwehu mmoja akaamua tu kuwafanyia uharamia wenzake na somo likawa tofauti kabisa...acha bana watu hovyo kabisa.wajitahidi ila wawe waangalifu wengi wameishia hapo.