Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,697
- 8,843
Kukosoa hovyo kukoje?
Binafsi suala kukosoa naliunga mkono ila lingefaa zaidi liwe linafanyika baada ya muda wa uongozi kuisha...
Huwezi kujua huyu dreva ni mzuri au mbaya wakati bado hujafika unako kwenda...
Binafsi nashindwa kuelewa, nilitarajia baada ya sheria ya makosa ya mtandaoni kuanza kutumika, watu wangeacha au kupunguza ukosoaji na matusi ktk mitandao ya kijamii kwa serikali yetu Tukufu ya awamu ya Tano.
Sasa kila kipita huku na kule kwenye mitandao ya kijamii...nakuta watu ni matusi tu..
Pamoja na kuwa kuna kesi nyingi tu na wengi bado wanafuatiliwa lakini bado watu hawajaacha tu..
Najiuliza tu!!, nn kifanyike watu waelewe kuwa serikali hii Tukufu inahitaji ifanye kazi na watu waone matokeo na si kupigiwa kelele ambazo zimepigwa miaka yote na hazijaleta manufaa yoyote?
Binafsi suala kukosoa naliunga mkono ila lingefaa zaidi liwe linafanyika baada ya muda wa uongozi kuisha...
Huwezi kujua huyu dreva ni mzuri au mbaya wakati bado hujafika unako kwenda...
Hivyo binafsi naona ni vyema hukumu au ukosoaji ukakafanyika baada ya safari..na siyo njiani.
Ndyo maana wengine wanamsifia dreva aliye pita kuwa alikuwa mzuri kuliko huyu....... wakati, alipokuwa anaendesha walikuwa wanamlalamikia sana.
Somo la hesabu itapendezaBinafsi nashindwa kuelewa, nilitarajia baada ya sheria ya makosa ya mtandaoni kuanza kutumika, watu wangeacha au kupunguza ukosoaji na matusi ktk mitandao ya kijamii kwa serikali yetu Tukufu ya awamu ya Tano.
Sasa kila kipita huku na kule kwenye mitandao ya kijamii...nakuta watu ni matusi tu..
Pamoja na kuwa kuna kesi nyingi tu na wengi bado wanafuatiliwa lakini bado watu hawajaacha tu..
Najiuliza tu!!, nn kifanyike watu waelewe kuwa serikali hii Tukufu inahitaji ifanye kazi na watu waone matokeo na si kupigiwa kelele ambazo zimepigwa miaka yote na hazijaleta manufaa yoyote?
Binafsi suala kukosoa naliunga mkono ila lingefaa zaidi liwe linafanyika baada ya muda wa uongozi kuisha...
Huwezi kujua huyu dreva ni mzuri au mbaya wakati bado hujafika unako kwenda...
Hivyo binafsi naona ni vyema hukumu au ukosoaji ukakafanyika baada ya safari..na siyo njiani.
Ndyo maana wengine wanamsifia dreva aliye pita kuwa alikuwa mzuri kuliko huyu....... wakati, alipokuwa anaendesha walikuwa wanamlalamikia sana.
Kuna Mambo mengine unahitaji tu akili za kuvukia barabara kujua hili ni la ki puuzi na huwezi kukaa kimyaBinafsi nashindwa kuelewa, nilitarajia baada ya sheria ya makosa ya mtandaoni kuanza kutumika, watu wangeacha au kupunguza ukosoaji na matusi ktk mitandao ya kijamii kwa serikali yetu Tukufu ya awamu ya Tano.
Sasa kila kipita huku na kule kwenye mitandao ya kijamii...nakuta watu ni matusi tu..
Pamoja na kuwa kuna kesi nyingi tu na wengi bado wanafuatiliwa lakini bado watu hawajaacha tu..
Najiuliza tu!!, nn kifanyike watu waelewe kuwa serikali hii Tukufu inahitaji ifanye kazi na watu waone matokeo na si kupigiwa kelele ambazo zimepigwa miaka yote na hazijaleta manufaa yoyote?
Binafsi suala kukosoa naliunga mkono ila lingefaa zaidi liwe linafanyika baada ya muda wa uongozi kuisha...
Huwezi kujua huyu dreva ni mzuri au mbaya wakati bado hujafika unako kwenda...
Hivyo binafsi naona ni vyema hukumu au ukosoaji ukakafanyika baada ya safari..na siyo njiani.
Ndyo maana wengine wanamsifia dreva aliye pita kuwa alikuwa mzuri kuliko huyu....... wakati, alipokuwa anaendesha walikuwa wanamlalamikia sana.
anafosi kupendwa
Kuna wakati mwingine tunatakiwa tumwamini dreva..Nahisi una kiwango kikubwa cha ushabiki. Vinginevyo ni ujuha kusubiri mwisho wa safari ndio utambue ujuzi wa dereva. Gear ya kuondokea tu utamjua dereva. Kupokea sifa za kinafiki ni kipimo cha ujinga.
Mfumo huo wa ukosoaji ulitumika awamu ya nne, lakini haukuleta matokeo chanya....Tatizo letu si kwamba watu wanakosoa ovyo serikali.
Tatizoletu ni kwamba watu hawakosoi serikali vya kutosha, wanaheshimu sana serikali.
Kumjaji dreva kwa gear moja tu, siyo sahihi na ukishamjaji bado haita saidia, bora ukae kimya tu kwani umeingia nae mkataba hadi mwisho wa safari...Nahisi una kiwango kikubwa cha ushabiki. Vinginevyo ni ujuha kusubiri mwisho wa safari ndio utambue ujuzi wa dereva. Gear ya kuondokea tu utamjua dereva. Kupokea sifa za kinafiki ni kipimo cha ujinga.