Somo gani litolewe watu waache kukosoa hovyo Serikali

michosho

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
507
500
Binafsi nashindwa kuelewa, nilitarajia baada ya sheria ya makosa ya mtandaoni kuanza kutumika, watu wangeacha au kupunguza ukosoaji na matusi ktk mitandao ya kijamii kwa serikali yetu Tukufu ya awamu ya Tano.

Sasa kila kipita huku na kule kwenye mitandao ya kijamii...nakuta watu ni matusi tu..

Pamoja na kuwa kuna kesi nyingi tu na wengi bado wanafuatiliwa lakini bado watu hawajaacha tu..

Najiuliza tu!!, nn kifanyike watu waelewe kuwa serikali hii Tukufu inahitaji ifanye kazi na watu waone matokeo na si kupigiwa kelele ambazo zimepigwa miaka yote na hazijaleta manufaa yoyote?

Binafsi suala kukosoa naliunga mkono ila lingefaa zaidi liwe linafanyika baada ya muda wa uongozi kuisha...

Huwezi kujua huyu dreva ni mzuri au mbaya wakati bado hujafika unako kwenda...

Hivyo binafsi naona ni vyema hukumu au ukosoaji ukakafanyika baada ya safari..na siyo njiani.

Ndyo maana wengine wanamsifia dreva aliye pita kuwa alikuwa mzuri kuliko huyu....... wakati, alipokuwa anaendesha walikuwa wanamlalamikia sana.
 
Kimbakuli

JF-Expert Member
Jul 11, 2013
376
500
Dereva anaecha njia na kupita kwenye makorongo na mabonde lazima alalamikiwe tu, mtu anakwambia anafanya maendeleo kwa kuminya haki za binadamu unategemea ni dereva mzuri huyo!? Note: Mtukufu ni Mungu tu, hakuna kilicho duniani kinachostahili Utukufu.
 
Mp Kalix2

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
5,946
2,000
shindwa kuelewa, nilitarajia baada ya sheria ya makosa ya mtandaoni kuanza kutumika, watu wangeacha au kupunguza ukosoaji na matusi ktk mitandao ya kijamii kwa serikali yetu Tukufu ya awamu ya Tano.

Somo Mojawapo ni kuacha matumizi ya neno Tukufu. Unajua nani Duniani hapa anastahili kuitwa Tukufu???
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
105,277
2,000
Kukosoa ni haki iliyomo ndani ya katiba ambayo ina nguvu zaidi kuliko hiyo sheria ya dikteta uchwara.

Binafsi nashindwa kuelewa, nilitarajia baada ya sheria ya makosa ya mtandaoni kuanza kutumika, watu wangeacha au kupunguza ukosoaji na matusi ktk mitandao ya kijamii kwa serikali yetu Tukufu ya awamu ya Tano.

Sasa kila kipita huku na kule kwenye mitandao ya kijamii...nakuta watu ni matusi tu..

Pamoja na kuwa kuna kesi nyingi tu na wengi bado wanafuatiliwa lakini bado watu hawajaacha tu..

Najiuliza tu!!, nn kifanyike watu waelewe kuwa serikali hii Tukufu inahitaji ifanye kazi na watu waone matokeo na si kupigiwa kelele ambazo zimepigwa miaka yote na hazijaleta manufaa yoyote?

Binafsi suala kukosoa naliunga mkono ila lingefaa zaidi liwe linafanyika baada ya muda wa uongozi kuisha...

Huwezi kujua huyu dreva ni mzuri au mbaya wakati bado hujafika unako kwenda...

Hivyo binafsi naona ni vyema hukumu au ukosoaji ukakafanyika baada ya safari..na siyo njiani.

Ndyo maana wengine wanamsifia dreva aliye pita kuwa alikuwa mzuri kuliko huyu....... wakati, alipokuwa anaendesha walikuwa wanamlalamikia sana.
 
Majigoro

JF-Expert Member
Jan 5, 2017
301
1,000
Mkuu kama huwa unasubiri kwanza ufike unakokwenda ndio ujue kama dereva ni mzuri au mbaya basi utakuwa na matatizo pia. Na kama uko hivyo unaweza usifike mwisho wa safari ukafia njiani.... kukosoa ni kuonyesha kasoro ilipo ili wahusika warekebishe mapungufu na kuboresha panapohitajika. Sasa ukisubiri mpaka muda utakapoisha ukikosoa itasaidia nini? Mhubiri mmoja alisema ukiona mtu anataka kuingia kuogelea na viatu jukumu lako ni kumweleza kuwa huwezi kuogelea na viatu, usisubiri azame ndio uanze kusema hukupaswa kuingia na viatu, hapo utawekwa kwenye kundi la wanafiki. Kwa mtu yeyote makini gari ikianza safari tu utamjua dereva makini na asiye na umakini na ndio maana wakatoa namba za simu za maofisa usalama ili kama kuna tatizo toa taarifa usisubiri ufike kwanza, unaweza usifike..... Kukosoa kuna lengo la kukuimarisha na utambue unapokosea, huwa hatugombani na kioo kinapotuonyesha uchafu uliopo usoni. Lengo kuu ni kujengana Tanzania ni yetu sote..... Mwisho hilo neno "tukufu" Nyerere alilikataa kwenye utawala wake likaibuka enzi za mzee Mwinyi, Mkapa akalikataa tena. Kwa Kikwete halijasikika kabisa naona linaibukia ngwe hii tena.... Utukufu ni wa Mwenyezi Mungu pekee.
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
8,392
2,000
Binafsi nashindwa kuelewa, nilitarajia baada ya sheria ya makosa ya mtandaoni kuanza kutumika, watu wangeacha au kupunguza ukosoaji na matusi ktk mitandao ya kijamii kwa serikali yetu Tukufu ya awamu ya Tano.

Sasa kila kipita huku na kule kwenye mitandao ya kijamii...nakuta watu ni matusi tu..

Pamoja na kuwa kuna kesi nyingi tu na wengi bado wanafuatiliwa lakini bado watu hawajaacha tu..

Najiuliza tu!!, nn kifanyike watu waelewe kuwa serikali hii Tukufu inahitaji ifanye kazi na watu waone matokeo na si kupigiwa kelele ambazo zimepigwa miaka yote na hazijaleta manufaa yoyote?

Binafsi suala kukosoa naliunga mkono ila lingefaa zaidi liwe linafanyika baada ya muda wa uongozi kuisha...

Huwezi kujua huyu dreva ni mzuri au mbaya wakati bado hujafika unako kwenda...

Hivyo binafsi naona ni vyema hukumu au ukosoaji ukakafanyika baada ya safari..na siyo njiani.

Ndyo maana wengine wanamsifia dreva aliye pita kuwa alikuwa mzuri kuliko huyu....... wakati, alipokuwa anaendesha walikuwa wanamlalamikia sana.
"munyika wewe nakutaka huku kwa gharama yoyote we ni jembe kweli kweli", in magu voice
 
Mr Miller

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
11,195
2,000
Kukosoa baada ya kumaliza uongozi ???

Sikuwahi kufikiria kwamba kuna fikra kama hizi humu...au labda kwa sababu Katiba na sheria za jamhuri sizijui....
huyu jamaa anaakili za ajabu hata nashindwa kumshangaa, kwahiyo hata kama dereva anaingia shimoni tutulie tu hadi tuingie ndo tumwambie kuna jiwe lilikuwepo pale angelikwepa!!

ama kweli ujinga ni ugonjwa mbaya sana.
haya ngoja wasubiri muda wake uishe wamkosoe...mimi sio mkosoaji hata hivyo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom