Somewhere in East Africa.....

CTX

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
1,273
984
22729227_2001453686758257_3549416741192930181_n.jpg
 
Wananchi pia hua wa tatizo ktk mambo kama haya,mtu anaona kuna viashiria vya vurugu na kupigwa lakini unaenda tu kwenye hayo mavurugu huku ukiimba na kuongea maneno ya ajabu ajabu kwa kupanikishwa na mwanasiasa ambaye kimsingi huwezi kujua undani wake na sili zake katika siasa na serikali.mimi nikipigwa ktk siasa labda kwa bahati mbaya sana nimejikuta tu labda nimepitia maeneo hayo kwa sababu za lazima
 
Hatar zaid ni kuwa hao polis wanalipa kisasi vha wenzai wanne waliouliwa kinyama wakienda katika kituo kupigisha kura
 
Then wanasema ni nchi ya amani, kudadeki, naipenda sana tanzania yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom