Heee! Huo mguu ulitua kichwani kwa mtu!!?
Prey=PrayPrey 4 them
Hapana haikumpiga kichwaniHeee! Huo mguu ulitua kichwani kwa mtu!!?
Stupidity
How sure u a!?Hapana haikumpiga kichwani
Video niliona alimpiga teke ya matako ,sema mpiga picha au aliye screenshot alimpiga picha mguu ukiwa juuHow sure u a!?
Afadhari mkuu, otherwise ingenipa shida sana mimi.Video niliona alimpiga teke ya matako ,sema mpiga picha au aliye screenshot alimpiga picha mguu ukiwa juu
Na hii tukio ni ya 2016 au 2015 haswa 2016 mwanzoni