WOWOWO
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 590
- 430
Ni mara chache kumuona JK akitinga tinted glasses, tumezoea kuona hii kwa makamanda wa CDM hasa Mbowe.Ni kama JK ana admire sana swaga za CDM na viongozi wake hasa ikizingatiwa sasa wameanza kuzikubali sera za CDM kama elimu bure, kushusha bei ya vifaa vya ujenzi nk. Taratibu JK anakuwa CDM na kutekeleza sera za CDM badala ya zile za CCM