popiexo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 742
- 182
Kila kitu Marekani! Kwa huwezi ukasma tuangalie za Kenya au Uganda? Marekani hawfanyi kampeni kwenye vumbi kama huku, mara helkopta inatimua mavumbu ndio maana inabidi kuvaa miwani. Umewahi kuona Marekani wanafanya kampeni kwenye uwanja kama wa jangwani au kidongo chekundu.Katafute picha za kampeni ya Marekani zilizomalizika juzi tu hapo uone kama kuna mgombea alovaa tinted/sunglasses akapigwa picha akiwa mbele za watu
Licha ya hayo, hata ingekuwa ni saikolojia ya mwaka 47 kweli, hao watu mnaowapa elimu ya uraia unadhani wana saikolojia ya mwaka gani?