Sometime JK ni kama anaiga swaga za viongozi wa CDM vile

WOWOWO

JF-Expert Member
Aug 3, 2011
590
430
3.jpg

Ni mara chache kumuona JK akitinga tinted glasses, tumezoea kuona hii kwa makamanda wa CDM hasa Mbowe.Ni kama JK ana admire sana swaga za CDM na viongozi wake hasa ikizingatiwa sasa wameanza kuzikubali sera za CDM kama elimu bure, kushusha bei ya vifaa vya ujenzi nk. Taratibu JK anakuwa CDM na kutekeleza sera za CDM badala ya zile za CCM
 
Kwa mujibu wa watafiti wa mambo ya saikolojia, ni rahisi kwa watu kumkubali mtu asievaa miwani tinted/sunglasses kuliko anaevaa. Na ndio maana si rahisi hata kidogo kuona viongozi wa nchi za nje wakipigwa picha wakiwa na miwani ya kiza hususan wakati wa kampeni hata jua liwe linachoma vipi

Kwa hiyo hizo swagga za Mbowe zinaweza kuwa zinafanya kazi to his disadvantage.
 
Hii ni Saikolojia ya mwaka 47.
 
Hii ni Saikolojia ya mwaka 47.

Katafute picha za kampeni ya Marekani zilizomalizika juzi tu hapo uone kama kuna mgombea alovaa tinted/sunglasses akapigwa picha akiwa mbele za watu

Licha ya hayo, hata ingekuwa ni saikolojia ya mwaka 47 kweli, hao watu mnaowapa elimu ya uraia unadhani wana saikolojia ya mwaka gani?
 
Sio lazima kianzie huko Marekani, maana kila kitu unataka kianzie huko kwani sisi hatuwezi kuanzisha chochote???
 
Mkuu, unafananisha hali ya hewa wa Marekani na Tanzania kipindi hiki; Acha kukurupuka. Jua la bongo soo....Huwezi kukaa juani kwa masaa kadhaa umesimama bili kusikia vibaya na kuona mvuke. Viongozi hawa saa nyingine inalazimika kuhutubia kwa masaa na kuwa katika hali hii. Ndio sababu ikibidi lazima Kofia na Miwani zitumike.

Acahana na "Umarekani" wako.
 
Hii je?

images
 
Picha zimeshaletwa, mbona umetoweka gafla??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Sio lazima kianzie huko Marekani, maana kila kitu unataka kianzie huko kwani sisi hatuwezi kuanzisha chochote???

Sijakwambia kianzie Marekani, nimekueleza matokeo ya utafiti wa saikolojia ya mwanaadamu

Sasa ama utataka kupingana na hizo tafiti, ni shauri yako, na ukila hasara ni tatizo lako.
 
Sio lazima kianzie huko Marekani, maana kila kitu unataka kianzie huko kwani sisi hatuwezi kuanzisha chochote???

Mkuu umemjibu vizuri sana. Unajua hii mentality ya kila kitu tunawaza nchi za Magharibi hasa Marekani naamini kwa kiwango kikubwa ndiyo imetufikisha hapa tulipo. Inakuaje tunasimama kufikiri na badala yake kazi ya kufikiri tunawakabidhi watu wa magharibi na mawakala wao kama IMF, WB, WTO? We can not even reason? Ubongo wa nje umetawala ule wa ndani?
 
Mkuu, unafananisha hali ya hewa wa Marekani na Tanzania kipindi hiki; Acha kukurupuka. Jua la bongo soo....Huwezi kukaa juani kwa masaa kadhaa umesimama bili kusikia vibaya na kuona mvuke. Viongozi hawa saa nyingine inalazimika kuhutubia kwa masaa na kuwa katika hali hii. Ndio sababu ikibidi lazima Kofia na Miwani zitumike.

Acahana na "Umarekani" wako.

Soma tokea post ya kwanza niliyo andika.

Ikibidi isibidi hilo silo langu, ni matokeo ya tafiti za kisayansi.

Unapozungumza na mtu ukiwa umeficha macho yako, ni tabu kuaminika kwa sababu hisia za binaadamu zinaonekana wazi zaidi kupitia macho.

Hata katika mazungumzo ya kawaida, mtu akija akawa hakutizami au anakwepesha kwepesha macho yake, kumkubali anacho sema ni tabu. Hiyo ni saikolojia ya binaadamu
 
Back
Top Bottom